Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Pamoja na ngeke la kufuzu Afcon lakini ukweli lazima usemwe kuhusu maufa ufa yaliyojaa katika timu ya Taifa stars. kwa ukweli kabisaa taifa stars haina ubora wa soka la kitabuni ambalo Yanga na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Yule kipa bora wa Africa na mwanafinalist wa CAF yupo dimbani leo Mali ikicheza na South Sudan mpaka sasa wakiongoza kwa mbili kipindi cha kwanza. Yule kipi wetu mdaka penalty za mbambamba jana...
21 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama timu ya yanga isipoifunga El Mereikh pale Kigali basi wanayanga tusitegemee makubwa hapa nyumbani. Yanga na Simba zina mashabiki na wapenzi wengi wa soka pale Kigali kwa sababu ya uhusiano...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Huu ni upuuzi ambao wachezaji wageni wanauleta. Jana nimeangalia huyu jamaa akicheza kwenye timu yake ya Taifa alivaa proper tu lkn kwenye ligi yetu anavaa kisela kama karukwa na akili.
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Klabu hiyo ya Ujerumani imeonesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Manchester United katika dirisha la Januari 2024 baada ya uhusiano na kocha wake, Erik ten Hag kuyumba. Sancho alisajiliwa...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini...
20 Reactions
89 Replies
9K Views
Unapozungumzia Uwekezaji katika SOKA ndiyo huu, ili uweze kuwa bora na imara ni lazima utafute wachezaji wa kukufikisha huko. Timu ya AL Ahly ya nchini Misri imeamua kufanya hivyo kwa kumdaka...
7 Reactions
11 Replies
3K Views
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi huyu jamaa ilikuwaje akabadili jina? Misimu ya nyuma aliitwa Bryson Raphael Ila saivi anaitwa Sospeter Bajana Nini kipo nyuma ya huyu bwana mdogo toka Azam fc
3 Reactions
56 Replies
15K Views
Ndugu yangu Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima (Fabregas) kawajazeni Upepo ( Kawasifieni ) nanyi mlivyo Mapimbi na Maboya mmejaa na Kujiamini mkidhania Msudani ni Mjibuti mliyemuonea kwakuwa Kwao...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha MPIRA MKOA wa Arusha ukikaribia Uongozi wa Arfa uliopo madarakani chini ya Mwenyekiti Mjema umeanza kucheza Rafu kwa kupanga safu za Viongozi wa Vyama vya...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
RAIS NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA WAMEONGOZA TOC TANGU 1/1/2002, HIYO NI ZAIDI YA MIAKA 21. Katibu Mkuu huyo na familia yake wanamiliki Shule iliyopo Mkuza Kibaha iliyopewa jina...
3 Reactions
5 Replies
881 Views
Habari wanamichezo wa JF? Bila Shaka mpo poa mkiendelea na majukumu yenu ya kulijenga Taifa. Leo bingwa mtetezi wa ligi namba tano Kwa Ubora barani Afrika namaanisha NBC PREMIER LEAGUE, Dar Young...
13 Reactions
652 Replies
45K Views
Winga mpya wa Simba anaumwa lakini cha kusikitisha haijulikani anaumwa nini. Tuendelee kumuombea Aubrin Kramo
8 Reactions
41 Replies
7K Views
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana...
14 Reactions
39 Replies
3K Views
Ukikasirika na huu Ukweli wangu Mchungu GENTAMYCINE toka hapo Nje Kwako ukiona Muuza Dawa za Sumu ya Panya nunua haraka, Korogea katika Kikombe cha Maji kisha Kunywa ili Upumzike kwa Amani na...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Winga huyo wa Manchester United amekubaliana na klabu yake kupewa muda wa kushughulikia suala la tuhuma za unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake Gabriela Cavallin. Antony (23) hajasimamishwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nawasabahi. Tuwe wakweli nani anastahili kusifi kwa Mchezo wa Taifa Stars na Algeri? Mimi nawasifia ALGERIA licha ya kucheza Mpira Mkubwa kwa kiwango hicho huruma na upendo wao kwa TAIFA...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mayele ameisaidia Nchi ya DR Congo kufuzu michuano ya Afcon baada ya kuifungia bao la ushindi kwenye ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Sudani.
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom