Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mchezaji wa Kimataifa wa Ghana mtukutu Benard Morrison au BM3 au Ben Maokoto au vyovyote vile utakavyomwita awajaza Waarabu kwenye Rada yake. Na hatimaye wamejaa. Pamoja na kutokuwa na imani naye...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno. Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana tumeshuhudia mchezo wa kiume kweli kweli kati ya Taifa Stars na wenyeji Algeria. Wachezaji wa Taifa Stars jana wameipigania Bendera ya nchi yao kweli kweli, pamoja na Algeria kusheheni mastaa...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Wataalam naombeni kujua kuhusu hili, maana amezaliwa England kwa Mama Mzungu na Baba Mtanzania wa Zanzibar. Kwenye timu ya England U 17 amecheza pia. Na sasa ni kati ya mabeki wetu wa...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Karma ya watani wa jadi, Karma is what?... Usimalizie bwana wapo watoto underage humu ambao matusi hayapaswi kuwa sehemu ya ukuaji wao. Hivyo wacha turejee nyuma tuone ni kwanini wanazuoni...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
tunajivunia
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Barani Afrika Waarabu na timu zao wamekuwa mabingwa wa kubuni figisu na wengine kuanza kuiga. Baadhi ya figisu zao ni kumulika wachezaji kwa Lasers, kuwasha myoshi uwanjani na kuwatumia vijana...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda. Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu? Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau. Yanga hana...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndiyo maana GENTAMYCINE nilikataa na hadi leo naendelea Kukataa kuwa Ligi Kuu yetu ya NBC Premier League ni Bora na ni ya Tano ( 5 ) kwa Ubora Afrika. Ila nikiambiwa kuwa Ligi Kuu yetu ni ya Tano...
2 Reactions
17 Replies
988 Views
For the Superstitious!! Since 2013 all the teams that have won the UEFA Champions League had a Croatian player in their Squad. [emoji1082] 2013 Bayern Munich - Mario Mandzukic 2014 Real...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Joseph Panga (1:04:12) na Jackline Sakilu (1:12:08) Washinda Mbio za Ruangwa Half Marathon 2023. Huku nafasi ya Pili ikienda kwa Hamis Athumani kwa muda wa ( 1:04:15) na nafasi ya tatu ni Nestory...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
[emoji966] Every winner of the African Footballer of the Year awards from 1970 till date: 2022: Sadio Mane | Senegal [emoji1211] 2019: Sadio Mane | Senegal [emoji1211] 2018: Mohamed Salah |...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii kitu inaitesa sana simba kwa sasa, wachezaji wengi wamekuwa wakipigana misumali kwenye kikosi cha Simba but kocha na viongozi wao awajajua chanzo ni nini na solution ni nini, matokeo yake na...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast anayekipiga ndani ya Timu ya Simba ya Tanzania Aubin Kramo amekuwa rafiki wa majeraha toka atue klabuni hapo, na mshangao kwa wengi ni pale anapokumbwa na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊 Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Manchester United inahitaji winga wa kulia baada ya Antony kutakuwa kuwa nje ya klabu kwa muda wakati akishughulikia kesi zinazomkabili wakati Jadon Sancho hatma yake haijulikani baada ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mungu amekisikia kilo chetu cha muda mrefu. Yule aliyekuwa anatufanya tukose raha kabisa ya mpira anaondoka. Tulikuwa tunaumia kutetemeshwa kunyanyaswa na yanga. Nilichukia kutetema
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom