Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada, lakini nitoe angalizo kuwa napenda mada yangu usomwe na watu wenye akili timamu na kujibiwa na watu wenye ufahamu. Binafsi ninahuzunishwa sana na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club...
11 Reactions
90 Replies
5K Views
Haika tena Old Trafford sio theatre of dreams bali imekuwa ni theatre of nightmares. Ni kweli glazers wanazingua, ila tukumbuke ETH ameshatumia 400ml katika usajili, hii 400ml ambayo karibia...
2 Reactions
16 Replies
887 Views
Hari za wakati huu wapenzi na mashabiki wa mpira Tanzania na duniani kote kwa ujumla, Leo ningependa nitoe maoni yangu kuhusiana na Manchester United kama ifuatavyo:– Mpira wa sasa ni tofauti na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
"Hawana hela wasije Uwanjani kwa Mkapa na kutia huruma kwa kusimama katika uzio kwani hawatoingia," Ahmed Ally msemaji wa Simba SC alipokuwa hewani mubashara EFM Radio asubuhi ya leo. Nikiwa kama...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Najua wengi Jana tuliuangalia mpira wa Mamelody vs Al AHLY lakini ni wachache tulioangali Kwa jicho la tatu na kung'amua vipaji haswa katika kikosi kile. 1. Kuna beki mmoja wa kati kitasa haswa...
6 Reactions
76 Replies
7K Views
1. Abdultwalib Mshery 2. Kibwana Shomary 3. Nickson Kibabage 4. Gift Fred 5. Bakari Mwanyeto Magwaya 6. Jonas Mkude 7. Jesus Moloko 8. Zawadi Mauya 9. Hafidh Konkoni 10. Crispin Ngushi 11. Denis...
6 Reactions
90 Replies
9K Views
Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Sh 2,000,000 kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani baada ya timu ya Ihefu kufunga bao la pili. Pia kwa kosa la maofisa wa benchi la ufundi wa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mechi ya kwanza ya nusu fainali inayowakutanisha wapinzani wawili Al Ahly na Mamelody. Kwenye h2h takwimu zinambeba Mamelody Mechi 5 za mwisho walizokutana, Al Ahly hajapata ushindi wowote zaidi...
7 Reactions
223 Replies
32K Views
Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake. Neymar alijiunga PSG kwa rekodi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku hiyo ndiyo mtajua kuna tofauti tofauti Kubwa kati ya Kumkaribisha Mgeni 'Kienyeji Kienyeji' katika Park Yard ya Training Ground na Kucheza Kandanda Safi la 'Pira Objective' na ile ya...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimeishuhudia Aly ahly kwenye mechi takribani 4 za kiushindani na nilitaka nijiridhishe zaidi kimbinu na kiufundi namna awa mabingwa wa kihistoria wa afrika wanavyocheza kwa sasa, na nilisubilia...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya 1st leg kumalizika kwa Mamelody kuibuka na ushindi wa bao 1-0 leo ni mchezo wa pili wa marudiano. Mechi inayarajiwa kuwa ngumu kwa dakika zote. Muda wa mechi ni 21:00 Kikosi cha Al...
11 Reactions
352 Replies
27K Views
Ukinipa Joyce lomalosa na kibwana Shomari Basi NALIA NGWENA nitakwenda na kibwana Shomari bila wasiwasi. KIbwana Shomari ni moja kati ya kitasa kilichochongwa na Prof wa mpira na si mwingine Prof...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Team ya wydad Casablanca imetinga hatua ya final ya AFL baada ya kuiondoa Esperance ya Tunisia Sasa Wydad itamngoja mshindi baina ya Al Ahly na Mamelody Uzito wa mechi unaonesha wazi kabisa team...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla, NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
π——π—˜π—–π—˜π— π—•π—˜π—₯ 11𝗠𝗔π—₯π—₯π—”π—žπ—˜π—¦π—› Usiku wa Tuzo za Caf 2023.Wananchi tunakwenda kukusanya tuzo zetu Kama ifuatavyo. 1:Mfungaji bora Caf confederation cup.√ 2;Kipa bora√ 3;Goli bora√ Hapa bado ile ya Club...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Match ipo dakika ya 80 Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr Silla Allasane diao Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…