Wydad yatinga final AFL

Naunga mkono hoja yako mkuu waydad kipimdi cha pili walionekana kuzidiwa zaid,.

Kuhusu simba na yanga kweli sisi bado sana hatuna kasi ujuzi wa kumiliki mpira oimakakati pia hatuna kwahyo ni vhangamoto kubwa wachezaji wetu ni wazito sana.

Na hii inaletwa na vilabu vyetu havitaki kuwa na projrct ya kutengeneza wachezaji kwaajili ya kuwatumia siku zijazo.

lkn tuwapongeze waydad kwa kuwa na wapigaji wazuri wa mikwaju ya penati hongera kwa aliyevuka.
 
Aya ya mwisho imemaliza kila kitu. Halafu unakisikia kuna kitimu kutoka mtaa wenye mafuriko kinasema kitampiga Al Ahly kilaini, na kwamba chenyewe levo yake ni Mamelodi. Hii nchi haitaisha vichekesho.

Tukirudi kwenye game ijayo:AL AHLY ANAENDA KUMTOA MAMELODI SUNDOWNS. Wale Wazee wa kukariri sijui Mamelodi huwa anampiga Al Ahly nje ndani leo ndo mtaenda kujua kuwa Al Ahly ni Real Madrid ya Africa.
 
Mamelodi sio mwenzako atawshangaza leo
 
Naunga mkono hoja yako mkuu waydad kipimdi cha pili walionekana kuzidiwa zaid,. Kuhusu simba na yanga kweli sisi bado sana hatuna kasi ujuzi wa kumiliki mpira oimakakati pia hatuna kwahyo ni vhangamoto kubwa wachezaji wetu ni wazito sana.
Na hii inaletwa na vilabu vyetu havitaki kuwa na projrct ya kutengeneza wachezaji kwaajili ya kuwatumia siku zijazo.
lkn tuwapongeze waydad kwa kuwa na wapigaji wazuri wa mikwaju ya penati hongera kwa aliyevuka.
Umetumia neno zuri "mikakati"ukiangalia game ya Leo ilijaa hesabu tupu nidhamu tensity hii level ya nusu ni ngumu sana
 
Aya ya mwisho imemaliza kila kitu. Halafu unakisikia kuna kitimu kutoka mtaa wenye mafuriko kinasema kitampiga Al Ahly kilaini, na kwamba chenyewe levo yake ni Mamelodi. Hii nchi haitaisha vichekesho.

Tukirudi kwenye game ijayo:AL AHLY ANAENDA KUMTOA MAMELODI SUNDOWNS. Wale Wazee wa kukariri sijui Mamelodi huwa anampiga Al Ahly nje ndani leo ndo mtaenda kujua kuwa Al Ahly ni Real Madrid ya Africa.
Ukiangalia namna Al Ahly game 1 dk za mwisho namna alivyompushi Mamelody basi inawezekana Mamelody Akala kichapo mda si mrefu
 
Attachments

  • 20231028_213239.jpg
    20231028_213239.jpg
    175.6 KB · Views: 1
Al ahly na wydad tumewachoka sasa kila siku wao tu
Mkuu hata mi nilitaka aingie Esperance ila si umeona upigaji wa penalty na nidhamu ya Wydad!?
Ili kuziondoa hizo team hapo team zingine inabidi Zi upgrade Kila kitu kuanzia management technical staff players na Kila kitu
Wenzetu wanajiendesha kisasa kuliko hata team za Ulaya na Arabuni au kule America
 
Back
Top Bottom