Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Argentina akicheza katika uwanja wake wa Estadio La Bombonera jijini Buenos Aires amekubali kipigo cha goli 2 bila majibu kutoka kwa mtani wake wa jadi Uruguay katika Derby ya kusisimua...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi...
6 Reactions
59 Replies
3K Views
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31...
11 Reactions
57 Replies
6K Views
Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo. Viongozi...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua...
1 Reactions
1 Replies
477 Views
Sisi mashabiki mentality yetu ni. tunasubiri kutangazwa kwa kocha mpya na siyo vinginevyo. Hata mkileta porojo nyingi ni kwamba kiuhalisia hatuna imani na makocha waliopo kwasababu hata kocha...
1 Reactions
2 Replies
602 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia bao la nne la mkwaju wa penalti lililoipa ubingwa Zanzibar Karume Boys wa CECAFA kwa vijana chini ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Alikamwe akihojiwa kuhusu suala la ukiukwaji wa Sheria Baada ya kuweka bango la kichapo Cha 5 - 1 Baada ya Rage kusema wataenda mahakamani kudai Tsh. 100 million Kwa kosa la bango la Yanga Haya...
11 Reactions
84 Replies
6K Views
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye...
6 Reactions
9 Replies
882 Views
Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga imeripotiwa kuwa ukingoni kukamilisha dili la kumsajili kiungo mkata umeme kutoka Ivory Coast, Djire Abdoulaye kutoka klabu ya Racing Club Abidjan. Young Africans SC inahitaji...
10 Reactions
72 Replies
8K Views
Kwenye tuzo za caf zinazo talajia kufanyika siku chache zijazo.Je naye Yanga atapeta mpaka tatu bora au ndo basi tena.
2 Reactions
8 Replies
931 Views
Ilikuwa tarehe 5/11/2023 siku ambayo mashabiki wa Simba waliamini Kwa kuwa kulikuwa na Mvua basi wangemfunga mpinzani wao mkubwa Yanga. Wanasimba walijiapiza kwamba lazima washinde Ile mechi na...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Mapokezi Makubwa ya Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Chrispin Shauri (alie vaa bendera ya 🇹🇿) Jijini Arusha, katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Messi kimemkuta Nini baaada ya kushinda Ballon D'or ya Wizi?
7 Reactions
38 Replies
2K Views
USHAURI TU Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu...
4 Reactions
9 Replies
768 Views
Karibu mashabiki na wafatiliaji wa NBA, ligi kuu ya kikapu nchini Marekani. Kona hii tunatajulishana, discuss na kupata info mbali mbali zinazoendana na NBA.
7 Reactions
215 Replies
12K Views
Kutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na...
35 Reactions
104 Replies
9K Views
Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk. Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui Upande...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kubali kuwa wewe sio mtu wa mpira, wewe ni mwanasiasa, ulikuwa mbunge wa kilwa kaskazini ukashindwa na vedasto ngombale wa Cuf ukaenda kuwa msaidizi wa PM mambo ya siasa, ukaondolewa ukaingia...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…