Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea. Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam, Viongozi wa Simba nawapa tahadhari tena msije kukurupuka kumsajili Victorien Adebayor raia wa Niger aliyeshuka kiwango sana Mchezaji huyu amepoteza namba kwenye taifa dogo kimpira Niger...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwanini nasema hivyo? Kwasababu yanga/utopolo ndio ina washabiki wenye roho ngumu kuliko wote hapa Afrika, wanawezaje kukaa na maumivu ya kupigwa 5 kwa 0 pale kwa mkapa mpaka leo hii,ikiwa sisi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Timu ya Everton imekatwa pointi 10 katika Ligi Kuu ya England (Premier League) kwa kosa la kukiuka Kanuni ya Fedha (Faida na Uendelevu), hali ambayo ilitokea katika Msimu wa 2021/22. Baada ya...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
19 November 2023 Dar es Salaam, Tanzanie Jijini Dar es Salaam timu ya taifa ya Morocco inaendelea na mazoezi ya utayari kukabiliana na timu ya Tanzania Taifa Stars المنتخب الوطني يواصل...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Asec Mimosas ya Ivory coast ilichukua caf champions league mwaka 1998 mwaka ambao pia Yanga ya TZ. Ilishiriki. Pia Asec walichukua super cup 1999 kombe linalotolana na mechi kati ya bingwa wa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi, Efm, clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Hapa sasa Mwakinyo kaanza kuwa mwelewa kwa sababu huko nyuma alikataa wito wa mahakama mpaka kupelekewa wito kupitia gazeti la Mwananchi. Pia wakili wake kakubali kusuluhisha mambo yao nje ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mechi inapogwa muda huu, mpaka sasa ni kipindi cha mapumziko Niger 0 Tanzania 0 == Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeanza vizuri Kuwania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa...
8 Reactions
200 Replies
16K Views
Klabu ya Tanzania Prisons imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Fredy Felix Minziro ambaye amedumu klabuni hapo kwa muda wa miezi minne toka aliposaini Julai 14, 2023. Minziro...
1 Reactions
6 Replies
857 Views
Baada ya timu ya wanaume ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutwaa kombe la African Football League (AFL), jana ilikuwa zamu ya timu ya wanawake ya Mamelodi kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afika...
3 Reactions
10 Replies
989 Views
Just been told: Simba SC have officially opened talks with Tunisian gaffer Radhi Jaïdi (48) to take over as the club’s new head coach. [emoji599][emoji1249] Jaïdi previously worked at...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa mliangalia uwezo wa uyu mdada walahamuwezi kubisha kabisa anaujua mpira haswa tena haswa kipaji chake kinaweza kulingana na Cha AZIZ K Ni fundi haswa wa Mali huwezi mkinai kumuangalia.
1 Reactions
7 Replies
642 Views
Kutokana na ratiba ngumu na wachezaji kukosa muda wa kutosha kumpumzika imepelekea Baadhi ya wachezaji kuwa na kipindi kigumu ikiwemo majeraha wakati timu ya taifa Ina wahitaji na vilabu navyo...
4 Reactions
2 Replies
614 Views
Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na...
12 Reactions
58 Replies
7K Views
Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Jemedari Saidi ameupiga kelele sana mchezo wa Yanga na Namungo, akishinikiza TFF kumfungia Aucho kwa retaliation dhidi ya Ajibu. Kwa namna ya ajabu TFF wakayafanyia kazi malalamiko ya Jemedari...
1 Reactions
3 Replies
538 Views
Back
Top Bottom