Nahisi kuna script Kwa wachambuzi na watangazaji kwenye game ya leo vs Morocco

Mukuu123

JF-Expert Member
May 7, 2019
319
1,221
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi, Efm, clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na mapambio yenye sifa Kwa team yetu zimekuwa nyingi mpaka napata wasiwasi, wachambuzi wamekosa hata weledi wa uchambuzi wamekazana tuu leo tunashinda tuu,pasipo kuangalia ubora wa team pinzani.

Mnaleta hamasa wakati team hatuna na maandalizi bado sana kuweza kuaminisha kwamba eti tuna qualify kwenye World Cup, naomba kesho nisisikie kwamba oooh mpira wametuzidi na bla bla kibao.
 
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi,efm ,clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na mapambio yenye sifa Kwa team yetu zimekua nyingi mpaka napata wasiwasi,wachambuzi wamekosa hata weledi wa uchambuzi wamekazana tuu leo tunashinda tuu,pasipo kuangalia ubora wa team pinzani.mnaleta hamasa wakati team hatuna na maandalizi bado sana kuweza kuaminisha kwamba eti tuna qualify kwenye World Cup ,naomba kesho nisisikie kwamba oooh mpira wametuzidi na bla bla kibao
Na leo wakileta mabango tutayazuia pale milangoni, Huu ni mpira na si siasa. Harakati za mapambio wapeleke kwenye vikao vya chama na si michezo.
 
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi,efm ,clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na mapambio yenye sifa Kwa team yetu zimekua nyingi mpaka napata wasiwasi,wachambuzi wamekosa hata weledi wa uchambuzi wamekazana tuu leo tunashinda tuu,pasipo kuangalia ubora wa team pinzani.mnaleta hamasa wakati team hatuna na maandalizi bado sana kuweza kuaminisha kwamba eti tuna qualify kwenye World Cup ,naomba kesho nisisikie kwamba oooh mpira wametuzidi na bla bla kibao

Wameturahisishia kazi yetu ya kuombea wafungwe, bila kuona aibu.
 
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi,efm ,clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na mapambio yenye sifa Kwa team yetu zimekua nyingi mpaka napata wasiwasi,wachambuzi wamekosa hata weledi wa uchambuzi wamekazana tuu leo tunashinda tuu,pasipo kuangalia ubora wa team pinzani.mnaleta hamasa wakati team hatuna na maandalizi bado sana kuweza kuaminisha kwamba eti tuna qualify kwenye World Cup ,naomba kesho nisisikie kwamba oooh mpira wametuzidi na bla bla kibao
Umejipotosha mwenyewe kudhani nchi hii ina wachambuzi. Hao ni mashabiki fuata upepo usiwategemee. Ni watabiri kama Shehe Yahaya.
 
Nimesikiliza leo vipindi vya michezo kuanzia wasafi,efm ,clouds na sasa nasikiliza kipenga aisee naona kuna script hawa watangazaji na wachambuzi wamepewa maana hizi kauli za kumshukuru mama na mapambio yenye sifa Kwa team yetu zimekua nyingi mpaka napata wasiwasi,wachambuzi wamekosa hata weledi wa uchambuzi wamekazana tuu leo tunashinda tuu,pasipo kuangalia ubora wa team pinzani.mnaleta hamasa wakati team hatuna na maandalizi bado sana kuweza kuaminisha kwamba eti tuna qualify kwenye World Cup ,naomba kesho nisisikie kwamba oooh mpira wametuzidi na bla bla kibao
Script lazima wapewe. CCM walishajimilikisha hii nchi kila jambo wanataka wao waonekane ndio wamefanya. Wakila za kutosha wamshukuru pia
 
Back
Top Bottom