Hii list ya Jana ya wachezaji ... kocha alipangiwa na nani?
Yaani unaacha mastaa wako nje?"[emoji47][emoji47]..... Shafii
Msuva sub
Samata sub
Job sub ....kukamilisha ukuta wa yericko...
Huyu kiungo nondo wa Taifa stars na Azam. Hakika anakosa watu wa kucheza Nao tu pale Taifa stars ila ni kiungo mmoja mzuri na mkatili sana.
Sifa zitazomfanya awe CAPTAIN national team ni uwezo...
SIKU moja tu tangu Kamati ya Kusimamia na Kuendesha Ligi ya Bodi ya Ligi (TPLB) kutangaza kumfungia kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kwa mechi tatu na kumlima faini ya Tsh 500,000 kwa kosa la utovu...
Tunapoelekea katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Asec mimosa tunaona nguvu nyingi inavyotumika kuhamasisha mashabiki huku mashabiki wakiwa hawana morali kabisa ya kwenda uwanjani...
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri.
Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA...
Tangu Simba achapike bila huruma mnamo tarehe 5 November 2023, kumekuwa na kuheshimiana miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Yale matusi yasiyo na sababu pamoja na posts za kukebehiana...
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors...
Wale wenzetu wao wanatupia viwalo ili tu kustiri maungo yao.
Ila huku kwetu tunatupia ili kuvaa
Tumewapiga uwanjani na tumewapiga mtaani
Ule uzi wa Yanga unaweza ombea kura za urais wa JMT na...
Hawa machawa wanaotaka watu waende uwanjani wakaaibishwe tena,ndio wanawapa kiburi viongozi.
Hawa viongozi wanashindwa kusajili na kufanya usajili wa kisiasa huku wakiungwa mkono na machawa na...
Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa...
Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.
Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na...
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane
Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012.
Akaongoza mamelod 2012-2020.
Viongozi hawana huruma na Ela za Mo...
Huwezi pata jezi nzuri kwenye rangi nyekundu na nyeupe,ukijitahidi kuzichanganya zote mbili utapata vazi la mganga, unajua rangi za yanga nzuri sana,kwanza zinaonyesha vitu vilivyopo duniani, uoto...
TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji.
Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi...
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi
Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca...
Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa...
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo...
Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM.
Hivi karibuni TFF imeingia mkataba...