Uzi mpya wa Yanga: Tofauti ya wanaovaa na wanaostiri mwili

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Wale wenzetu wao wanatupia viwalo ili tu kustiri maungo yao.

Ila huku kwetu tunatupia ili kuvaa

Tumewapiga uwanjani na tumewapiga mtaani

Ule uzi wa Yanga unaweza ombea kura za urais wa JMT na ukapata kwa ushindi wa kishindo

Hakuna kama Yanga

FB_IMG_1700664619434.jpg
FB_IMG_1700664603463.jpg
FB_IMG_1700664588603.jpg

Aaaahaaaa

Ile ya gold?
Ndio binafsi sijaipenda... Huwa sipendi nguo yenye marangirangi mengi Tena ambayo hayajakaa kiustadi ama kiufundi! Hizo rangi mbili naona hazijakaa kiufundi but anyway mwisho wasiku wachezaji watuletee makombe nyumbani hayo mengine mbwembwe tu..
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom