Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo. Kuelekea African Football League...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
MUNGU ATUSAIDIE TUSIKUTANE NAE HUYU BWANA KASHATUPIA HUKO TP MAZEMBE WANALIA PYRAMIDS 1...
1 Reactions
7 Replies
736 Views
Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewij ameshusha viingilio vya mzunguko toka sh.5000 Hadi 3000 Kwa tiketi. Mheshimiwa Mo amesema amelazimika kufanya hivyo Kwa kuheshimu nafasi ya...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
" hii nayo Simba kachukua 5...1 nyingine.... ndugu wa Mnyama Kuna shule huku" Jemedari said.... mchambuzi EFM Nakala waione Kalpana Mshana Jr FaizaFoxy Mshana Jr SAGAI GALGANO Mnakubaliana na...
8 Reactions
85 Replies
4K Views
Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za Timu ya wanawake Tanzania Timu ya Under 21 wanawake Tazania Timu ya under 17 wanawake Tanzania Timu ya wanawake...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Mabingwa wa Kihistoria Nchi Vijana wa Africa,Ama Young Africans kwa Lugha ya King Charles wametangaza viingilio vya Match yake dhidi ya Vijana kutoka kwa Farao..Al Ahly Sc. Hapa walio na kadi ya...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii. Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Unajua moja ya shida ya nchi hii ni serikali na wanasiasa kuwaonea donge watu na taasisi binafsi pale zinapoonekana kupata ushawishi, umaarufu na nguvu kuwazidi wao. Hili limekuwa ni tatizo kubwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Nyota wa Ligi ya Kikapu ya NBA, LeBron James amefanikiwa kuwa mchezaji anayongoza kwa kufunga pointi nyingi katika ligi hiyo baada ya kufikisha zaidi ya pointi 39,000. LeBron (38) anayeichezea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Na sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye...
2 Reactions
8 Replies
874 Views
Mashabiki wa Simba walipoandamana ilikuwa ni haki yao ya msingi kusikilizwa wanapoona dosari na kutatua kwa demokrasia, mlileta polisi kuwatandika na kuwafukuza. Tiketi zimegoma sokoni kuisha...
13 Reactions
18 Replies
1K Views
Huko Simba mambo bado, juu ya ile ishu ya mabadiliko ya klabu hiyo ili iendeshwe kwa mfumo wa hisa ambao mchakato wake ulianza tangu mwaka 2017 umekwama ikielezwa tatizo likiwa ni katiba ya klabu...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
1.Nurdin Bakari 2.Abdi Kassim Babi 3.Joseph Kaniki 4. Niko Nyagawa 5. Fredrick Mbuna 6. Juma Jabu JJ 7. Meshack Abel 8.Shamte Ali 9. Said Bahanuzi 10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa 11.Mrisho Khalfani...
11 Reactions
200 Replies
10K Views
[emoji830]︎[emoji830]︎[emoji830]︎[emoji981]|𝗦𝗛𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗪𝗜 [emoji860]“Sifikirii Kufanya Kazi na Klabu Nyengine, Nimeamua Hilo Kwasababu Naheshimu Rizki Yangu Ndani ya Yanga.” [emoji860]“Tayari...
12 Reactions
27 Replies
3K Views
Simba wamefanya jaribio zito la kutaka kumng’oa juu kwa juu kiungo wa Yanga Mkongomani, Maxi Nzengeli ambaye alipiga mabao mawili dhidi ya Simba kwenye ushindi wa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo. Kuelekea African Football League...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Huwa naona wachezaji mpira wakisali kabla ya kuanza kucheza, pia katika nchi kama yetu huwa nasikia wadau, viongozi wa serikali, timu na mpira kwa ujumla wakihamasisha raia waiombee timu ya taifa...
3 Reactions
16 Replies
987 Views
Suala la kufungiwa na Fifa kufanya usajili kwa kukiuka mkataba wa kuuza aliyekuwa mchezaji wa Simba ni tatizo la CEO kutojua majukumu yake kwani alipaswa kutekeleza hilo ambapo ndo mojawapo ya...
1 Reactions
2 Replies
617 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…