Simba kufungiwa kusajili, CEO hajui majukumu yake na anawajibika kwa hilo

iyokichiku

Member
Oct 30, 2023
36
70
Suala la kufungiwa na Fifa kufanya usajili kwa kukiuka mkataba wa kuuza aliyekuwa mchezaji wa Simba ni tatizo la CEO kutojua majukumu yake kwani alipaswa kutekeleza hilo ambapo ndo mojawapo ya majukumu yake.

CEO hatufai aondoke/aachie ngazi haraka

Hilo lisingetokea kwa CEO aliyepita Ms Barbabra
 
Naona kampeni ya kurudisha Babra inaanza. Babra ndio kaifikisha hapa Simba na ujinga wake.
 
Back
Top Bottom