Msemaji wa Singida BS Hussein Massanza tulipokutana Singida nilikwambia uache kuwasumbua watu kwamba mtaifunga Yanga. Nilikuuliza mtashindaje ikiwa mnacheza kwa maelekezo? Mzee wa Jambia kaiweka...
Nimejaribu kuangalia gemu nyingi Sana Simba alizocheza ugenini hususani na timu za kaskazini. Kama wangewekeza kwenye professional game huenda wangevuka hatua zaidi hata kufika nusu au fainal kabisa
Hawa jamaa wamekuwa na desturi ya kulalamikia waamuzi sana.Ni kama mwanamke anavyolalamikia mfumo dume.Unakuta mradi aonekane kaonewa tuuu na huenda wanatafuta huruma.
Kwa hapa nyumbani...
Yaani kwa jinsi uwezo wa hii timu ulivo wa kiwango cha kawaida, tunashindwa kuamini kama kweli yale mabao 5 yalikuwa ni uwezo wa timu yao, ushahidi ni hizi mechi za ligi ya mabingwa ambazo...
Bongo mambo mengi .....
Msimu uliopita Baada ya wananchi kuvuka vikwazo vingi Katika michuano ya CAF confederation na kufika fainali....baadhi ya wachambuzi na semaji lao la mchongo na mashabiki...
[emoji1630]Klabu ya Wydad AC imewarudisha wachezaji wake wawili ambao ni Zouahir El Moutaraji na Ismail El Moutaraji ambao walishaanza mazoezi na timu
[emoji1630]Wachezaji hao wawili walikuwa...
Timu ya Aston Villa imeendelea kuonesha kuwa msimu huu haina utani kwenye Premier League, hiyo ni baada ya kuichapa Arsenal goli 1-0 kwenye Uwanja wa Villa Park.
Matokeo hayo yanaifanya Villa...
Leo Jwaneng Galaxy kachezea pale pale kwake mabao 2 - 0 na Asec, sisi tulimkosa sana na tulivokuwa wasahalifu tukaanza kumsifia Benchika kaibadilisha timu, cjui ss hv timu inacheza vizuri, sijui...
Kikosi cha Simba Queens
Kikosi cha Yanga Princess
Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess
Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao...
Asec ameshinda mabao 2 0 ugenini leo, nini maana yake? Ameshaokota pointi 7 now, mechi 3 alizobakisha mbili atakuwa nyumbani, atacheza na Gwanengy kwake na atamalizia na Simba, hao wote atawaua...
Asec Mimosas wamewacharaza Jwaneng Galaxy nyumbani kwao kwa goli 2-0.
Na sasa wana jumla ya pointi 7, Asec wana mechi mbili za nyumbani dhidi ya Galaxy na Simba, na moja ya ugenini dhidi ya Wydad
Naangalia hapa simba Queens na yanga princess,kiukweli yanga haina wachezaji kabisa.
Hivi hapa kuna wachezaji waliotoka nje katika hawa wachezaji? Kama wapo wavunjiwe mikataba warudi kwao. Ni...
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.
Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu...
Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus.
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko...
Mpira wa miguu ni mchezo wa kugongana na kutumia nguvu nyingi sana hasa kwenye mashindano makubwa ya CAF na Derby. Wachezaji walewale kila mechi za kila mashindano zinaiumiza timu, wachezaji...
Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla.
Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani
Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo.
🙌 Mimi n...
Kiukweli baada ya hii game ya medeam narudia tena kusema yanga inahitaji wacheza 4.
1.Winga mwenye ubunifu wa kumiliki mpira,kasi na winga anayelifuata box la adui akiwa na mpira. Sijui tutampata...
Historia ya Ligi ya Mabingwa ya CAF (CAFCL) ni kama ifuatavyo:
Kuanzishwa (1964): CAFCL ilianzishwa mwaka 1964 na kuitwa awali Kombe la Vilabu Bingwa Afrika. Lengo lilikuwa kuwakutanisha...
Salaam wana JF,
Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu...