Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba sc na pacha wake Young African SC Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile. Wote mumeingia makundi kwa pamoja...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Hizi ni hujuma Mimi kama mpenda soka Huwa nachukizwa pale timu inakuwa na goli za penalty ( coz inonyesha % nyingi za mbeleko) Hatua ya makundi [emoji23][emoji23]kolo kafunga goli Moja tu nalo ni...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa...
13 Reactions
1K Replies
65K Views
Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze. SSC ijitahidi kushinda game zote za Home na akienda Asec kwa SSC hii, atafute ushindi au afanye droo. Bado matumaini...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Bocco tushamuona, Baleke tumemuona hana jipya tena, kila cku yeye ni kukosa magoli tu, Phiri amechapoteza mwelekeo, shabaha iliyopo sasa hv ni Shaaban Chilunda tu, kijana huyo ana uwezo mkubwa...
0 Reactions
4 Replies
583 Views
Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea...
15 Reactions
80 Replies
4K Views
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi...
1 Reactions
7 Replies
711 Views
Jana Simba imepambana sana na matokeo yameniuma sana utadhan nimefiwa na mzazi, haki tena, ila kitu kinanipa taabu sana na kunipa hofu kama kweli Umoja upo Simba, pengine ndio maana matokeo...
1 Reactions
5 Replies
739 Views
Huu ndo mchezo unaosubiriwa kwa hamu zaidi kwani utakuwa mchezo wa mwisho kwa Simba na Wydad kuamua kusonga mbele ama lah! Siku hii kwa namna yoyote ile Simba lazima ishinde ili kuwa na matumaini...
1 Reactions
2 Replies
606 Views
Yanga walianza ligi kuu kwa kushinda mechi kwa magori mengi kumbuka zile 5G. Gamond akadhani ana kikosi kipana akafanya rotation kwenye mechi dhidi ya Ihefu, kilicho mpata alipoteza ule mchezo...
1 Reactions
7 Replies
768 Views
Japo hatutaki hili litokee tuendelee kuiombea hiyo timu lakini it's a destiny lazima Wydad Casablanca ashinde coz hawezi endelea kukaa kule mwishoni So japo tuendelee kuomba Dua ....ila hili ni...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Kumekuwa na maneno kutoka kwa wachambuzi na wdau mbalimbali wakidai kuwa yanga Ili itoboe kwenye makundi nilazima wapate mtu kama Mayele, vipi kuhusu mahasimu wao Simba?
0 Reactions
9 Replies
663 Views
Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo...
3 Reactions
5 Replies
603 Views
Malengo ya Simba sc kimataifa ni kufika nusu fainali na malengo Yanga Sc kimataifa ni kuingia makundi. Yanga wametimiza malengo Yao lakini siyo malengo ya kushangilia sana kwa maana Yanga Sc ni...
1 Reactions
0 Replies
350 Views
Nasikia Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kushika nafasi ya mwisho kwenye kund,i, leo wanaongoza kundi baada ya mechi yao na Wydad. Nawapa hongera sana kwa kuongaza kundi.
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Simba hii kwa sasa naona wamebaki kukamia mechi dhidi ya waarabu na sio kuzicheza mechi hizi kiufundi, kilichoonekana Jana kinathibitisha ilo! Kadri muda ulivyokuwa unaenda nilikuwa sioni Simba...
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Hii team ni mbovu sana aisee, naangalia hapa mechi yao dhidi ya asec hata ikitokea wameshinda ni ngekewa tu ila hii team mbovu. Na huu uwanja wao kabisa ni takataka eneo la kuchezea, hapa hata...
1 Reactions
3 Replies
420 Views
Yaani nionavyo mimi hizi timu hazifiki popote pale, zitaishia kwenye makundi tu au zitupwe shirikisho huko. Uzi tayari, kama una kaza fuvu sawa.
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala. Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL. Ukisahau kuwa hata...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom