Uchambuzi: Kwanini Simba atapigwa 5+ na Wydad leo

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo;

1. Simba wana uhitaji na matokeo, ila wydad Casablanca wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo.

3. Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha.

Mwisho matokeo ni: Wydad Casablanca 5.....1

IMG-20231124-WA0002.jpg
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo

1. Simba wana uhitaji na matokeo ...ila wydad Casablanca Wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo

3.Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax .na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha

Mwisho matokeo ni
Wydad Casablanca 5.....1View attachment 2837320
Wao wako busy na Gamondo Pacome.....ndio guraha yao msimu huu....
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo;

1. Simba wana uhitaji na matokeo, ila wydad Casablanca wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo.

3. Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha.

Mwisho matokeo ni: Wydad Casablanca 5.....1

View attachment 2837320
yangaaaaa inalillahi wainailaihi rajiun
pole sana hii ndio champion jaman tuliwaambia mkashupaza shingooo!
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo;

1. Simba wana uhitaji na matokeo, ila wydad Casablanca wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo.

3. Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha.

Mwisho matokeo ni: Wydad Casablanca 5.....1

View attachment 2837320
Mimi Yanga lkn Simba anaweza kufanya vizuri pamoja na whydad kufungwa mechi 2 mfululizo .

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.
Ndugu mchambuzi kwa nini usichambue kilichoibakisha Yanga mkiani huko group D la CAFCL?

Yanga imekutana jana na vibonde Medeama ktk uwanja ambao hakuna hata mashabiki wa kuwapigia kelele washindwe mechi.

Komaa na Yanga yako ihame mkiani ndugu mchambuzi maana hata mbuzi ana mkia na Yanga wapo mkiani kwa sababu wanapenda supu ya mkia Uto wahed 😁 😁
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo;

1. Simba wana uhitaji na matokeo, ila wydad Casablanca wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo.

3. Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha.

Mwisho matokeo ni: Wydad Casablanca 5.....1

View attachment 2837320
Unajitekenya mwenyewe alafu unacheka mwenyewe 😂😂😂😂🤣🤣🤣

Simba Guvu Moja 😊😊
 
Back
Top Bottom