Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
6 Reactions
156 Replies
12K Views
Kwa kiwango cha wachezaji wa Simba, tusubirie tuu kubugizwa goli 2-0 au 3-0 na Azam fc, na huo ndio utakua msumari wa mwisho kwenye jeneza la Simba Gibril silla Prince Dube Kipre junior...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya...
8 Reactions
338 Replies
39K Views
Club Ya Manchester United Alimaarufa Mashetani Wekundu imepata Ushindi katika Mchezo wake dhidi ya Aston Villa ambapo Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Old Trafford. Aston villa walikua wa...
1 Reactions
5 Replies
789 Views
KUTOKA:KWA MSANII JOTO LA MOTO. Nakuja kuwasilisha,na pongezi kuzitoa. Msimu umeshakwisha,hesabu zimeshatoa. Alama zilizotosha, Mnyama kaziopoa. Sema this is Simba,Mabingwa wa Tanzania. Hongera...
10 Reactions
23 Replies
6K Views
Utafiti Tovuti ya FBref.com inayojihusisha na takwimu za michezo mbalimbali, umeonesha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi ndiye mchezaji wa soka aliyetazamwa mara nyingi mtandaoni katika Nchi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC πŸ“† 20.12.2023 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza...
22 Reactions
1K Replies
68K Views
No talks between Simba SC and Mamelodi Sundowns to sign Aubrey Modiba (28) β€” just been informed. [emoji599] No contact made at all to even agent. [emoji777] However, Hernest Briyock Malonga (21)...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ameandika @alikamwe Tena Bila aibu .. Wameandika kwa Mbwembwe kabisa Eti Klabu π™π’π§πšπ³π¨π°πšπ§π’πš kucheza Klabu Bingwa ya Dunia[emoji3] Wanawaniaje? Kimyaaaa .. Naona Wachambuzi wanapata Kigugumizi...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa hapo alipoifikisha inatosha ameishiwa hana cha kuoffa tena. Kama unafuatilia mechi Newcastle wanastaili moja ya uchezaji ni rahisi sana kuwazuia. Kama maboss wa Newcastle wanaitaka top four...
2 Reactions
14 Replies
863 Views
Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Jana wakati nashushia pilau langu kwa mvinyo, nikaanza kukumbuka points ambazo Simba imezidondosha KIZEMBE SANA katika hii misimu minne iliyotumiwa na FIFA kujua timu za kwenda Kombe la Dunia...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
No talks between Simba SC and Mamelodi Sundowns to sign Aubrey Modiba (28) β€” just been informed. [emoji599] No contact made at all to even agent. [emoji777] However, Hernest Briyock Malonga (21)...
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC. Muda ni Saa 10 Jioni. Kila la heri mnyama. Kikosi Cha KMC Kinachoanza Kikosi cha Simba Kinachoanza...
11 Reactions
688 Replies
44K Views
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu. Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona...
10 Reactions
89 Replies
9K Views
Unajua haya Maisha usiruhusu kitu kikuzoeee kikikuzoea kina Jenga Makazi kina kua kama Part of your Life hata kama kulikua ni Temporary. #Simba Jiangalieni hapo Mtaa wa 3 mnaweza msitoke.
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Nashauri uongozi wa mchezaji LuΓ­s Miquissone Uuombe uongozi Wa Simba Umtoe mchezahi huyo kwa mkopo kwa timu zisizo na presha. mfano Namungo,Singida FG,Kmc na Nyinginezo zinazoweza kumpa dk nyingi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Ndiyoo!! Msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) alianzisha Jambo la kiungwana la kuombana msamaha haswa mnapokoseana. Hii kampeni ilianza baada ya Simba sc kuchukua point tatu muhimu Mbele ya Wydad...
1 Reactions
3 Replies
636 Views
i will be short, 1. KATIBA ina mpa too much power muwekezaji to the point average person ambaye ni mwanachama can't have a say. Manchester United and alot of monopoly teams face the issue, as a...
2 Reactions
11 Replies
899 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…