Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
Habari
Nadhani sasa wenzetu Makolo wameanza kujifunza nakujiendesha kisasa kama sisi team ya Wananchi, nadhani wamejifunza kwetu.
Nawapongeza kwa hili
Mwezi wa 6 usajili ulijaa kufukuza na...
Nimekuwa mfuatiliaji wa ligi kuu ya NBC, mpaka Sasa nakiri kuwa huyu kijana Mganda anayecheza klabu ya Tabora United aitwaye JOHN BEN NAKIBINGE ni kiungo Bora wa ushambuliaji.
Anafaa kuwa hapo...
HII YANGA SASA SIFA,YAKIMBIZANA NA REAL MADRID KUWEKA REKODI ZA KIDUNIA [emoji599]
Hii ni list ya team zilizoongoza kufuatiliwa zaidi kwa mwezi December Kwa Kila bara kwenye mtandao wa Instagram...
NALIA NGWENA nilikua ni mmoja Kati ya watu tuliokuwa tunashuhudia diamond platnaumz akisheheresha kufunguliwa kwa uwanja mpya baada ya kufanyiwa marekebisho uwanja wa Abeid Amani karume.
Kwa Hilo...
Wakuu,
Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club.
Baada ya Simba kupitia kipindi kigumu cha kuangusha...
Habari wana Jukwaa La Michezo,
Mwaka 2023 unakata huu,
Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya...
Kundi B la Simba,
-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya...
Tukiwa tunaelekea kumaliza Mwaka wa 2023 nawakaribisha wanamichezo wote wa Jukwaa hili tukaribie hapa.
Naomba Tuweke Matukio ya Kimchezo katika picha ambayo yametokea kwa Mwaka huu 2023 ambapo...
His image to be displayed at the opening ceremony of the 2023/2024 AFCON.
He died of cardiac arrest in June 2017 during a training session, at the age of 30.
Tiote played 55 times for the Ivory...
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya...
TAARIFA Kwa Mujibu wa @jr_farhanjr ni kuwa Yanga Africa wamevunja Mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama CPA Haji Mfikirwa.. Sababu zinatajwa kuwa ni Kusua sua Kwa zoezi la...
Kichwa cha habari chahusika. Baada ya kusuasua kwa misimu miwili ni dhahiri sasa kuna mabadiliko yafuatayo yatafanyika Simba SC:
1. Fred Nganjiro (Vunjabei) hataendelea kuwa kit supplier wa...
Kwa wale wanaofatilia haya mashindano yenye ukwasi wa milioni 100 kwa mshindi wa kwanza na 80 kwa wa pili ambayo yameanza Leo wawe wanaweka updates hapa ili sisi watumiaji wa Dstv tujue Nini...
Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya.
Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na...
Habari za hivi karibuni zilizopo hadi sasa zinaeleza kuwa kuja kwa Simon Msuva kujiunga na Yanga SC bado ni taarifa rasmi haijathibitishwa na klabu zenyewe.
Kwa sasa inaonekana kama tetesi tu na...
Kampuni ya kiteknolojia ya michezo ijulikanayo Kama sprible imeibuka mshindi wa tuzo 7 mtawalia kwa Mwaka 2023 baada ya ubunifu mkubwa walioufanya katika teknolojia ya michezo ya igaming. Baada ya...
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo...
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao 2022/2023 katika michezo ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa, leo Julai 13 2022 imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji...