BN:Utopolo wameanza kutimuana huko

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
TAARIFA Kwa Mujibu wa @jr_farhanjr ni kuwa Yanga Africa wamevunja Mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama CPA Haji Mfikirwa.. Sababu zinatajwa kuwa ni Kusua sua Kwa zoezi la Usajili wa Wanachama Wapya.

Haji Mfikirwa alianza Kazi Kama katibu Mkuu wa Yanga Africa.Kabla ya Baadae Kuwa Mkurugenzi wa Fedha na Kumaliza utumishi wake Kama Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama.

Note; Hii Kupakua Supu imekuja tu by the way....Sijui Ilikuwaje

Source:Mzee wa Jambia
View attachment 2855738
 
Wamechelewa sana jamaa yuko slow mno kwenye usajili watu wanahamasa ya kujiunga na kupata uanachama lakini wao hawatoi elimu ya namna ya kufanya wanatumia page kupiga umbea hapo hata kitengo Cha media watakuwa na Cha kujibu
 
TAARIFA Kwa Mujibu wa @jr_farhanjr ni kuwa Yanga Africa wamevunja Mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama CPA Haji Mfikirwa.. Sababu zinatajwa kuwa ni Kusua sua Kwa zoezi la Usajili wa Wanachama Wapya.

Haji Mfikirwa alianza Kazi Kama katibu Mkuu wa Yanga Africa.Kabla ya Baadae Kuwa Mkurugenzi wa Fedha na Kumaliza utumishi wake Kama Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama.

Note; Hii Kupakua Supu imekuja tu by the way....Sijui Ilikuwaje

Source:Mzee wa Jambia
Asante kwa taarifa ndugu 🦁.Sasa mumpe usajili kabla ya kumpoteza mara ya pili 🤔
 
Kwani usajili utamlazimosha mtu? Mashabiki ni fuata upepo , timu ikishinda anafurahia ikishinhwa ni ya kwenu mnaokula mshahara , viongozi na wachezaji. Yaani mnataka kunimiliki Mimi? Tv nilipie kingamuzi, jezi zenye maremborembo meeengi ambayo ukifua maandishi yanabanduka mnatuuzia fedha nyingi halafu niwe nalipia kadi Kila mwaka kama nalipa zaka kanisani? Chakufia nini embu tumwone anayeluja atupige viboko ili tujidajili? Mmemuonea buuure
 
Dah
 
Kwa hiyo huyu ndiyo kafara baada ya kushindwa kuleta watu viwanjani?
 
TAARIFA Kwa Mujibu wa @jr_farhanjr ni kuwa Yanga Africa wamevunja Mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama CPA Haji Mfikirwa.. Sababu zinatajwa kuwa ni Kusua sua Kwa zoezi la Usajili wa Wanachama Wapya.

Haji Mfikirwa alianza Kazi Kama katibu Mkuu wa Yanga Africa.Kabla ya Baadae Kuwa Mkurugenzi wa Fedha na Kumaliza utumishi wake Kama Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama.

Note; Hii Kupakua Supu imekuja tu by the way....Sijui Ilikuwaje

Source:Mzee wa Jambia
Aiseeeh
Screenshot_2023-12-28-18-49-06-18.jpg
 
Kwani usajili utamlazimosha mtu? Mashabiki ni fuata upepo , timu ikishinda anafurahia ikishinhwa ni ya kwenu mnaokula mshahara , viongozi na wachezaji. Yaani mnataka kunimiliki Mimi? Tv nilipie kingamuzi, jezi zenye maremborembo meeengi ambayo ukifua maandishi yanabanduka mnatuuzia fedha nyingi halafu niwe nalipia kadi Kila mwaka kama nalipa zaka kanisani? Chakufia nini embu tumwone anayeluja atupige viboko ili tujidajili? Mmemuonea buuure
Hauja lazimishwa kama huna hela tulia usiwasemee wenzako
 
Ni kweli; kitengo cha uandikishaji wa wanachama kiko slow sana. Mwaka jana nimewaambia wanitumie kadi ya uanachama , wakanipa namba ya Whatsup lakini kila nikipiga Whatsup sipokelewi mwishoni nikaacha. Nitaenda Physically mwakani nitakapokuwa likizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom