Mapinduzi Cup

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,303
9,486
Kwa wale wanaofatilia haya mashindano yenye ukwasi wa milioni 100 kwa mshindi wa kwanza na 80 kwa wa pili ambayo yameanza Leo wawe wanaweka updates hapa ili sisi watumiaji wa Dstv tujue Nini kinaendelea
Mfano Leo bingwa wa mashindano hayo msimu huu kacheza na bingwa wa msimu uliopita je nani kashinda nani kashindwa
NB:All the best Yanga wakikaa vibaya tulichukue na kuondoka nalo
 
Tff waangalie upya kuhusiana na hilo bonanza la mapinduzi, yani ligi inasimama kupisha bonanza hii sio sawa kabisa
 
Nipeni kikosi cha Deportivo de Utopolo bila kuwa na wachezaji wake walio timu ya taifa. Naona kuna dalili za watu kukimbia mashindano
 
Back
Top Bottom