Gharama za kumleta Diamond platnaumz uwanjani ni Bora zingetumika katika kuongeza thamani ya kombe (Mapinduzi Cup)

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,735
NALIA NGWENA nilikua ni mmoja Kati ya watu tuliokuwa tunashuhudia diamond platnaumz akisheheresha kufunguliwa kwa uwanja mpya baada ya kufanyiwa marekebisho uwanja wa Abeid Amani karume.

Kwa Hilo Raisi Dr Mwinyi anastahili pongezi kwa juhudi zake za kupigania ukuaji wa mpira hapa Nampa hecko (Big Yes).

Sasa Kilichobaki ni kulipa thamani kombe la Mapinduzi Cup japokuwa kwa Sasa inasemekana limefika thamani ya mil 100 kwa mshindi wa kwanza na mshindi wa wapili atalamba mil 80.

Kwa akili ya kawaida tu hizo mil 100 ni mishahara mitatu au minne ya Wachezaji wa Yanga Sc, Simba sc na Azam Fc, na ndiyo maana kombe la Mapinduzi linadharaulika sana kutokana na thamani yake.

Kama tumeboresha uwanja kwa nini tushindwe kuboresha thamani ya kombe!? hakuna wadhamini?!

Hii imenikumbusha watani zangu wazaramo na walugulu wapo Radhi kwenye sherehe akodi mziki mkubwa, mavazi ya gharama kwenye sherehe ili mradi tu na yeye aonekane Bora lakini nyuma ya Pazia watoto wanalala NJAA na ukitazama Nyumba anayoishi unasema si Bora ngewalisha watoto au angerekebisha nyumba??

Huu ni Muda Sasa Mapinduzi Cup ipande thamani ili tushuhudie mpira mzuri na wenye kuvutia siyo hiki tunachokiona Sasa timu nyingi zinapuuza haziweki wachezaji wake muhimu kwa kuogopa majeraha/thamani ya kombe lenyewe ni ndogo.

Kama tunaweza kumuweka diamond akatumbuiza basi tunaweza kuongeza thamani ya kombe la Mapinduzi.
Hatuwezi kuwa na nyumba (uwanja) wakati watoto wanalia NJAA.
 
Hata kumuita Diamond ni kulipa thamani hilo kombe. Hayo mengine ya kutafuta wadhamini ni mapendekezo. Tunatumia wasanii wakubwa KULETA mvuto na kufanya watu wafuatilie zaidi.
 
Kitu usichojua Diamond kawekeza sana nowadays huko Zanzibar na ana ukaribu mkubwa sana na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Usishangae hajalipwa hata sent badala yake labda zile gharama za kuvaa,kulipa stage shows,malazi na chakula. Mondi hafanyag show kizembe bob. Hizo ya mshindi wa kwnza na pili ndo ela yake ya show. Hope hapo jamaa kajenga tu connection
 
Diamond aende zanzibar na ndege ya kukodi halafu akafanye show bure?

Diamond hanaga utani kwenye pesa
 
POLE SANA YAANI MOND AKAFANYE SHOW YA BURE

ETI ANATAFUTA CONNECTION??

UNAFIKIRI UNDERGROUND HUYO??
 
Diamond aende zanzibar na ndege ya kukodi halafu akafanye show bure?

Diamond hanaga utani kwenye pesa
Hio pesa ndg ni ndogo ukilinganisha na usaidizi wa uwekezaji mkubwa ambao diamond anapata hapo Zanzibar. Kama huelew fuatilia mkuu. Kuna uwekezaji mkubwa sana jamaa anaufanya na ni mwinyi ndie anaemsaidia. Ukitaka kuamini linganisha na kampeni za Tulia. Hua anampa sana tu kazi Diamond. Nielewe. Hawa ni wafanyabiashara. Kuperfom vs kupata msamaha wa Kodi kwa uwekezaji hapo zenji kwenye uwekezaji wako kipi Bora? Kumbuka rais ana mamlaka ya kutoa msamaha wa Kodi. Matajiri hua wanathamini sana hizo connection kuliko kupata pesa ya haraka. Yan kombe liwe M 180 while diamond analipwa almost USD 100,000-150,000 per show unafikri ni rahisi kumpa kazi kibongo bongo? Ndomana siku hzi shows anaandaa zake mwenyew.
 
POLE SANA YAANI MOND AKAFANYE SHOW YA BURE

ETI ANATAFUTA CONNECTION??

UNAFIKIRI UNDERGROUND HUYO??
Fuatilieni vzur wakuu. Hizo ni presidential shows. Na jamaa anafanya biashara. Anatoa value na yeye anaingiza value. Kama hujui mambo ya uchumi huwezi kunielewa. Mond ana branch ya wasafi zenj. Analipa Kodi, anaandaa shows, ana nyumba kibao tu huko na nasikia Kuna projects nyingi tu jamaa anaenda kuzifanya siku zijazo huko. Huyo sio mjinga. Hata alifanya Bure kwa gharama zake lakini lazima Kuna kitu atagain. Imagine zile show tu alizokua nafanya Rayvany wasafi festival na anasema uandaaji pesa anatoa mfukoni mwake. So ni kama hasara tu kwake. Unafikri anachotaguta hapo ni nn kama sio value?. Hv mnaelewa maana ya value?
 
Alisema mwenyewe anayo ndege na alijipiga selfie ikiwa ndani ya hiyo ndege huku anatekenyana na zuchu wake 😂
Daaaah kumbe dogo aliingizwa mjini?

Hii dunia ina wenyewe wallah 😂😂
Yah aliulizwa mbona alisema ananunua ndege haifiki, akasema aliingizwa mjini sijui bilion 3 za ndege.
Sema siamini kama alitapeliwa yule atakuwa alikuwa anapiga kamba. The boy is so smart kutapeliwa yule.
Halafu anajua biashara na kutafuta pesa. Kijana yule ni smart sana
 
Hata kumuita Diamond ni kulipa thamani hilo kombe. Hayo mengine ya kutafuta wadhamini ni mapendekezo. Tunatumia wasanii wakubwa KULETA mvuto na kufanya watu wafuatilie zaidi.
Kwa baadhi yetu wachache tuliposikia diamond atakuwepo tukapata muda mzuri wa kufanya mambo mengine.

Siwezi kuwa mfuasi wa mtu mpuuzi anayetangaza ngono za kila namna.
Mtu aliyefanikiwa kuwa brainwash hadi watu wa itifaki ya ikulu ya Zanzibar, hadi wanafurahia kutangaziwa ngono zembe.
Sio ajabu Zanzibar inaongoza kwa tabia za kisodoma
 
Back
Top Bottom