Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars. Mara ampigie simu rais ni kuwavuruga wachezaji. Yeye kama ana Nia njema aweke...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
"Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco." Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia...
2 Reactions
17 Replies
655 Views
Thierry Henry alimuuliza Pep Guardiola ni timu gani Bora kwake aliyotwaa nayo mataji matatu kwa msimu kati na Manchester City na Barcelona. Hichi ndio alichojibu Guardiola.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeona hii habari, nimesikitika. Masaa mawili waziri alikuwa anaongea nini?
1 Reactions
8 Replies
891 Views
Pamoja na yote, Manula sio KIPA ila ni the most loved one , sijajua ni kwanini. Jamaa huwa haoni movement za mpira sio kama DIARA. Mmmh kweli Uchawi upo. Hoja ya msingi, je ni wakati gani REFA...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru. Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi...
14 Reactions
93 Replies
40K Views
Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua. Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Unafiki wetu TU kukana kauli yakocha wetu. Tungeishia TU kusema nimtizamo wake binafsi sio ya TFF. Lakini hayo ya kuhangaika nae kinidhamu tuache. Tuone mechi itaishaje, usimamizi...
1 Reactions
2 Replies
573 Views
Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa...
24 Reactions
34 Replies
4K Views
Kumekuwa na hili swali watu wengi wamekuwa wakiuliza kuhusiana na team yetu ya Taifa. Ambayo imekuwa mara nyingi ikichukiwa na baadhi ya watu. Kwa nchi nyingine teams zao za Taifa zimekuwa chanzo...
14 Reactions
39 Replies
7K Views
nimeimisi mno ligi kuu yetu na hasa jinsi waamuzi wanavyopokea milungula ya timu kubwa na kwa sasa moja yenye utajiri wa mdhamini mkwepa kodi mzoefu ili waibebe katika matokeo na maamuzi Na...
1 Reactions
1 Replies
557 Views
Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
1 Reactions
7 Replies
481 Views
Ni moja ya sajili Bora kabisa ambayo Eng.Hersi said anastahili pongezi za dhati, ni goalkeeper ambae amekomaa vya kutosha na uzoefu wa kutosha! Mechi yake ya kwanza dhidi ya south Africa...
2 Reactions
4 Replies
795 Views
Tunayoyaona ni Matokeo ya maandalizi mabovu. Timu haina bajeti, badala yake inabidi tufanye harambee Tena harambee yenyewe inafanyika tayari timu ipo Ivory Cost, sijajua hizo pesa zilikuwa za...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga...
1 Reactions
6 Replies
532 Views
Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars...
3 Reactions
13 Replies
938 Views
Nilishawahi kusema magolikipa wetu wana vitu vingi sana vya kujifunza kwa @djiguidiarraofficial kutoka na aina yake ya kudaka,moja kitu ambacho kinawasumbua magolikipa wetu wa nyumbani ni "FOOT...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Inasikitisha sana Kwa kweli Kwa mashabiki wengi wa timu kubwa nchini,hususan mashabiki wa Simba na Yanga. Mashabiki Hawa wamekua hawana shukurani kabisa kwa wa chezaji waliopungua uwezowao,Mfano...
4 Reactions
7 Replies
713 Views
•Jimmyson Mwanuke —Simba [emoji654] Mtibwa Sugar •Erick Mwijage—West Armenia [emoji654] Geita Gold •Erick Johora—Geita Gold [emoji654] Mashujaa •Mapinduzi Balama—Coastal Union [emoji654] Mashujaa...
13 Reactions
32 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…