Alex ngereza: Tunabahati sana Diara kucheza Tanzania

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
Nilishawahi kusema magolikipa wetu wana vitu vingi sana vya kujifunza kwa @djiguidiarraofficial kutoka na aina yake ya kudaka,moja kitu ambacho kinawasumbua magolikipa wetu wa nyumbani ni "FOOT WORK" kwa Diarra ni bora sana kwenye foot work yake.

Kitendo cha Diarra kuwa mlinda mlango namba moja kwenye kikosi cha Mali timu ambayo ina wachezaji wengi wazuri na wanacheza soka la ulaya lakini mlinda mlango wao anatoka kwenye klabu inayotoka Afrika Mashariki kwenye timu ambayo haina historia kwenye michuano ya kimataifa hii ni bahati sana kwetu -
@alexngereza._ na @boiboimkali

NB: Maendeleo hayana Chama..japo Mimi ni mwanasimba ila hapa ni ukweli mtupu
Cc: Kalpana
1705471449494.jpg
 
....rekebisha hapo kwenye timu ambayo haina historia kwenye mechi za kimataifa....
 
Sisi Yanga tukisema mnasema ni mahaba, leo kila mmoja amekiri kwa kinywa chake Diarra ni bora Afrika sio tena Tanzania. Mkome sasa kumshindanisha na makipa wenu.
 
Sisi Yanga tukisema mnasema ni mahaba, leo kila mmoja amekiri kwa kinywa chake Diarra ni bora Afrika sio tena Tanzania. Mkome sasa kumshindanisha na makipa wenu.
Uto bhana, hata kipa wa Nigeria aliedaka mechi ya kwanza anacheza chipa utd, south Afrika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom