AFCON kauli ya Amrouche

Motowntzjpm

Senior Member
Jun 16, 2023
118
191
Unafiki wetu TU kukana kauli yakocha wetu. Tungeishia TU kusema nimtizamo wake binafsi sio ya TFF. Lakini hayo ya kuhangaika nae kinidhamu tuache. Tuone mechi itaishaje, usimamizi utakuwajetusiwaandae watanzania Kwa matokeo mabaya

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom