Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Wakati Simba itaanza na Dodoma...
Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia
Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa...
Guys
inaonekana kalazimishwa kuja TZ.body language imekataa kabisa aha hanha ila sisi ndo tunashoboka hatari.
Ukimwangalia yaani kama haelewi kinachoendelea endelea anabaki kushangaa shangaa...
Mtanange uko live
Mamelodi wanaongoza 1-0.
Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi.
Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR...
The 2026 UEFA Champions League final between Paris Saint-Germain and Arsenal will take place on Saturday, May 30, 2026, at the Puskás Aréna in Budapest, Hungary.
UEFA.com
Kick-off is scheduled for...
Rio Fernand kimeshasnza kumlamba huko, sisi tulimshauri akashupaza shingo.
Mashirika ya haki za binadamu yamemulaumu kwa hatua yake ya kuitembelea Tanzania nchi ambayo imemwaga damu nyingi sana...
Takribani miezi 10 ama 11 hivi nilikuwa sijagusa mpira, siku hiyo mwili wangu unatamani mpira kuliko chochote, hata ule mchezo wa mguu bara mguu pwani siutamani kama ambavyo nimeamka na tamaa ya...
Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.
[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.
[2] Imeshindwa kutwaa...
Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje?
Ni upuuzi hata...
Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama
Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia
Nimeona malalamiko ya viongozi wa...
Iko hivi jana nilitengeneza mkeka wa mechi 20 ukaleta odds 53. Mechi 19 zimetiki kasoro mechi moja ya Villarreal na Elche ambayo niliweka option ya over 2.5 bookings. Yaan hiyo mechi iishe kwa...
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za...
Endapo Mourinho atamnunua Salah Real Madrid msimu ujao kuna uwezekano ndoto yangu ya Mohamed Salah kupata Ballon D'ior ikatimia.
Halafu msimu wa 27-28 iwe zamu ya dogo Lamine Yamal kuisaidia...
Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta.
Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.