Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii ligi sijui wanatumia vigezo gani kuiweka ligi namba 5 kwa ubora Afrika. Mojawapo ya adhabu ziluzotangazwa na bodi ya ligi ni adhabu ya kufungiwa shabiki wa yanga anayeandamana na benchi la...
5 Reactions
21 Replies
506 Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema kuna timu waliwahi kung'oa viti, kitendo kile sijasahau na upelelezi unaendelea.
3 Reactions
10 Replies
370 Views
  • Poll Poll
Clatous Chama alimkuta Emmanuel Okwi “EO7” Simba Sports akiwa tayari ana ufalme wake ndani ya nyoyo za mashabiki. Wakati Emmanuel Okwi anaondoka Simba, alimwachia Clatous Chama “kofia ya ufalme”...
5 Reactions
14 Replies
575 Views
Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza 1. Viongozi msimpe lawama yoyote...
10 Reactions
28 Replies
747 Views
Leo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup. Tukutane hapa kwa live updates! Kocha Pep Guardiola...
3 Reactions
30 Replies
522 Views
AP | May 17, 2012 12:38:29 ARUSHA, Tanzania (AP) — Former Rwanda soccer captain Patrick Mafisango has died in a car crash in Tanzania. He was 32. Mafisango's death early Thursday was...
0 Reactions
117 Replies
21K Views
Chelsea Football Club is delighted to announce the appointment of Xabi Alonso as Manager of the men’s team. The Spaniard will begin his role on July 1, 2026, having agreed a four‑year contract at...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM...
12 Reactions
55 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza timu ya Yanga imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2025/26 mbele ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Airtel, Singida, leo Mei 13, 2026. ######### Yanga yupo...
3 Reactions
62 Replies
2K Views
Ni mara yatatu ama siyo ya nne namuona golikipa.wa yanga akisharuhusu TU goli bas kwake hapo mech imeisha kwa upande wake atajivunja na na golikipa mwingne kuingia Nadhan huyu yupo kwa ajil ya...
10 Reactions
35 Replies
866 Views
Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau...
1 Reactions
51 Replies
1K Views
Licha ya kuwa timu ngumu inapocheza kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa FC imekubali kupoteza kwa magoli 3-0 dhidi ya Simba ambayo imeendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuutafuta...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Wafaransa mtatoboa kwa kikosi hiki?
4 Reactions
6 Replies
199 Views
Leo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup. Tukutane hapa kwa live updates!
2 Reactions
7 Replies
129 Views
Arsenal wanazindua jezi mpya ya nyumbani ya msimu wa 2026–27 kabla ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League final.
1 Reactions
8 Replies
415 Views
Nilikuwa namtetea sana Mangungu kwamba hana uwezo sababu katiba haimpi nguvu. Baada ya marekebisho ya katiba amekaa kimya na kuqcha bodi ambayo haitambuliki iendelee kufanya maamuzi ikiwemo...
3 Reactions
6 Replies
257 Views
Asee watu wangu wa nguvu wapenzi wa mpira kuna bonge la mechi yani nail biting usipime. Timu mbili kubwa kwenye league kuu ya mpira Bangladesh Khelaghar Samaj Kalyan Samiti VS Dhaka Rangers Fc...
1 Reactions
15 Replies
332 Views
Nitalia arsenal atapo beba ubingwa, hakika hii ni kubwa kuliko, funzo kubwa kwenye maisha linatolewa na arsenal, mara ya mwisho kubeba ubingwa wa epl nadhani ilikua 2003/2004. Ni miaka 22 imepita...
7 Reactions
13 Replies
430 Views
Back
Top Bottom