Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni. Tahadhari hii michezo sio ajira, cheza kwa kiasi ambacho ukipoteza hutaumia , ba jua ni muda upi unatakiwa kumpumzika...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limefanya droo rasmi ya upangaji wa makundi ya Kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars...
Arsenal have officially been crowned 2025/26 Premier League champions after rivals Manchester City F.C. failed to keep pace in the title race following their draw with Bournemouth on Tuesday...
Kuelekea msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani EPL pale Uingereza inayo tarajia kuanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa tarehe 15, Agosti 2025 hii ndio top 4 yangu.
1. Chelsea
2. Liverpool
3...
MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️
Uchambuzi wa Mdau:
ARSENAL tunahitaji miujiza Leo
---
Mechi kati ya Manchester City vs Arsenal (19 Aprili 2026, Etihad) ni moja...
Hatimaye safari ndefu ya kusubiri imefika mwisho kwa mashabiki wa Arsenal F.C. baada ya kutwaa ubingwa wa EPL baada ya miaka 22 tangu msimu wa 2003/04 wa “Invincibles” chini ya Arsène Wenger. 🔥...
Imepita zaidi ya miaka 20 tangu Arsenal iteae ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. Pamoja na kucheza soka safi la kuburudisha huwa wanaishia kunawa tu! Lakini hatimaye inaelekea soka linaenda...
Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye...
Neymar amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 26 cha Brazil national football team kitakachoshiriki 2026 FIFA World Cup.
Nyota huyo wa Brazil anarejea rasmi kuiongoza timu ya taifa baada ya...
Baada ya kuifunga Sports Club Villa kwenye Uwanja wa Nakivubo, kwa magoli mawili ya Said Mwamba na. Edibilly Lunyamila kwenye fainali ya michuano ya Klabu bingwa ya Africa Mashariki na ya kati...
Duchu ndio kusema alikuwa anawasubiri Loemba na Gomez ili tu...awasaidie goli Lao walilokuwa wameliplani walipokuwa pale nje....Goli walilokuwa wamelichora..!
Salute kwao goli La tatu ...Loemba...
Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Xabi Alonso kama kocha wao mpya Je ni Chaguo Sahihi!?
Xabi Alonso ni kocha bora sana kimkakati, na baadhi ya watu wanasema angepaswa kusubiri kazi...
Mastaa wakubwa duniani Madonna, Shakira, na kundi la BTS wataongoza jukwaa siku ya fainali ya Kombe la Dunia Julai 19, 2026 huko New Jersey, Marekani. Michuano hii mikubwa inaandaliwa kwa...
1. Mimi ni shabiki wa Yanga.
2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.