Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,911
- 3,736
Msimu huu lengo ni kutwaa ubingwa wa EPL.Yan toka nambari 15 hadi 11 ya 7 na sasa ya nne,tumeonyesha kuwa bado matumaini tunayo.lengo letu red devils ni mafanikwa na hapa EPL hamn timu yenye mafanikio kama sisi.