NAONA KELELE ZA WATU OOH DEPU KASHIKA NA MKOONO LEO
TUMEWEKA PICHA YA MWL KASHIKA NA MKONO BODI MMEKAAA MKADANGANYANA KUWAJADAA WANANCHI ATI TUMEWAFUNGIA
WAAMUZI LILIKUWA GOLI
KAMA.MMERUHUSU...
Klabu ya Yanga imeiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), kuomba ufafanuzi juu ya adhabu mbalimbali ambazo zimetolewa na kamati ya saa 72 juu Club hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa...
Uwekezaji wa Mohammed Dewji maarufu Mo Dewji ndani ya Klabu ya Simba ni moja ya hatua kubwa zilizobadili mwelekeo wa uendeshaji wa soka la Tanzania katika miaka ya hivi karibuni.
Dhamira yake ya...
Kumekuwa na mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka nchini kuhusu uhusiano kati ya Young Africans Sports Club (Yanga) na Singida Black Stars, huku baadhi ya mashabiki wakieleza wasiwasi wao juu...
Sijui namwonaje huyu beki hatari wa Liverpool Ibrahim Konate. Yuko kishambashamba tu. Sura yake haileweki sijui ana huzunika ama analia.
Jana kwenye UEFA aliifungia Liverpool goli kali la kichwa...
Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo...
Wazee wa mikeka habari.
Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+)
Naomba kujua kwa wazoefu.
Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili...
Tottenham Hotspur Football Club [ The Lilywhites ] , commonly referred to as Tottenham (/ˈtɒtənəm/) or Spurs, is a professional football club based in Tottenham, London, England. It competes in...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola hataruhusiwa kuwa kwenye benchi la ufundi katika mechi dhidi ya Chelsea FC na West Ham United FC baada ya kupata kadi sita za njano. Hata hivyo, Guardiola...
Hapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa...
Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel.
Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni.
Hakuna habari yoyote ya...
Mwamuzi Msaidizi namba mbili katika mchezo wa Yanga SC na Simba SC, Hamdan Said amemfungiwa miezi mitatu kwa kosa la kusimamisha shambulizi la mchezaji Prince Dube dhidi ya Simba dakika ya 61...
Kocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi...
Mchezo wa Ligi Ya NBC 2025/2026 Yanga Sc dhidi ya Singida Big STars
Kipindi cha Kwanza kimekamilika Yanga wapo mbele kwa goli 2
Magoli ya Yanga yamefungwa na Prince Dube na Allan Okello.
Chuma...
Mitifuano inayoendelea mitandaoni kuhusu Derby ya Kariakoo kuhusu Yanga kutocheza ama kucheka inakuzwa na ujinga wa timu hiyo kongwe ya Jangwani pale penye mafuriko na tope kila mwaka
Sababu...
Floyd Mayweather mwaka huu mwezi wa nne anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na hasimu wake wa muda mrefu former heavyweight champion of the world Iron man Mike Tyson kwenye pambano la maonesho...
Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki.
Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa...
Kilichotokeq znz aman stadium hakuna tofauti na mechi ya simba na dodoma
Baada ya kuona miminiko ya mfululizo kama mabomu ya iran yanga tuliamua kukaza kukomaa nyuma wote kama dodoma
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.