Simba hamtoboi mpaka mkaombe radhi kaburi la Hans Poppe

Simba hamtoboi mpaka mkaombe radhi kaburi la Hans Poppe

All d best
Kubwa zima hata kuandika hujui,miaka inakatika,vitoto vya juzi vimekuja JF vinajua kuandika! We mzee mwenzangu sijui unakwama wapi! Upo bize kuishabikia utopolo
 
8A37B863-0B1C-4975-9E8E-4673ED24D973.jpeg
 
Kama Marehemu Hanspope ndio anazuia magoli kwa kisingizio cha offside itabidi wamwombe radhi.
 
Kwamba hansipop ndio aliiunda Simba? Stupid. Yanga walimuomba radhi nani?
 
Back
Top Bottom