Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wazee wa mikeka habari. Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+) Naomba kujua kwa wazoefu. Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili...
5 Reactions
22 Replies
717 Views
Tottenham Hotspur Football Club [ The Lilywhites ] , commonly referred to as Tottenham (/ˈtɒtənəm/) or Spurs, is a professional football club based in Tottenham, London, England. It competes in...
7 Reactions
67 Replies
8K Views
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola hataruhusiwa kuwa kwenye benchi la ufundi katika mechi dhidi ya Chelsea FC na West Ham United FC baada ya kupata kadi sita za njano. Hata hivyo, Guardiola...
1 Reactions
2 Replies
391 Views
Hoima Stadium Stadium ready to host AFCON Pamoja 2027, how is the status in your country Kenya and Tanzania
1 Reactions
3 Replies
259 Views
Hapo vip! Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa...
3 Reactions
20 Replies
519 Views
Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel. Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni. Hakuna habari yoyote ya...
6 Reactions
10 Replies
372 Views
Mwamuzi Msaidizi namba mbili katika mchezo wa Yanga SC na Simba SC, Hamdan Said amemfungiwa miezi mitatu kwa kosa la kusimamisha shambulizi la mchezaji Prince Dube dhidi ya Simba dakika ya 61...
2 Reactions
19 Replies
686 Views
Kocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi...
3 Reactions
5 Replies
488 Views
Mchezo wa Ligi Ya NBC 2025/2026 Yanga Sc dhidi ya Singida Big STars Kipindi cha Kwanza kimekamilika Yanga wapo mbele kwa goli 2 Magoli ya Yanga yamefungwa na Prince Dube na Allan Okello. Chuma...
2 Reactions
20 Replies
752 Views
Mitifuano inayoendelea mitandaoni kuhusu Derby ya Kariakoo kuhusu Yanga kutocheza ama kucheka inakuzwa na ujinga wa timu hiyo kongwe ya Jangwani pale penye mafuriko na tope kila mwaka Sababu...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Floyd Mayweather mwaka huu mwezi wa nne anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na hasimu wake wa muda mrefu former heavyweight champion of the world Iron man Mike Tyson kwenye pambano la maonesho...
4 Reactions
16 Replies
545 Views
Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa...
2 Reactions
12 Replies
551 Views
Kilichotokeq znz aman stadium hakuna tofauti na mechi ya simba na dodoma Baada ya kuona miminiko ya mfululizo kama mabomu ya iran yanga tuliamua kukaza kukomaa nyuma wote kama dodoma Baada ya...
5 Reactions
3 Replies
349 Views
Mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) watashuka dimbani Machi 5, 2026 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars bila wachezaji Watatu muhimu, jambo linalopelekea...
0 Reactions
3 Replies
510 Views
Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imekuwa ikikuwa kwa kasi, japo hatujafikia zilipo nchi Kama Kenya , Uganda, South Africa, Ghana na , Nigeria lakini sio haba, tumekusanya zaidi ya bilion 200...
1 Reactions
2 Replies
308 Views
Naaam hayawi hayawi Sasa yamekua !! Asiyekia na mwana basi aeleke jiwe " hayo Si maneno yangu NALIA NGWENA aka Under cover Bali ni maneno ya Wahenga, na sipo hapa kutabili kama shekhe yahya Bali...
5 Reactions
24 Replies
980 Views
Ni mwendelezo ligi kuu ya NBC PL LEAGUE, YANGA ikimkalibisha mnyama mkali wa mwituni SSC katika uwanja wa AMAAN COMPLEX, Zanzibar saa 08:15 usiku wa leo. Ni mchezo wa aina yake kwani...
3 Reactions
166 Replies
5K Views
Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Back
Top Bottom