Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Pamoja na mechi ya Azam vs Yanga kutangazwa kuliko vita vya Iran lakini mwitikio wake imekuwa Duni mno, Hakuna watu uwanjani na Wala ufuatiliaji wake kwenye TV ni kiduchu mno. Wachunguzi wa Mambo...
16 Reactions
23 Replies
614 Views
Mradi huo unaojengwa Fumba kisiwani Unguja, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani milioni 150 (Sh388.8 bilioni za Tanzania) ambao unalenga kuvutia watalii watakaofika kushuhudia mashindano hayo...
1 Reactions
2 Replies
221 Views
Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
2 Reactions
30 Replies
2K Views
UPDATES 👇 Kikosi cha Young Africans kimegoma kuingia na Kukaa kwenye vyumba vya kubadilishia wakidai kuwa kuna harufu mbaya, inaelezwa Yanga SC wamepuliziwa dawa vyumbani. Yanga SC ni wageni...
1 Reactions
8 Replies
378 Views
One Word for Him?
10 Reactions
16 Replies
419 Views
Hii ni kweli kabisa shetani makazi yake ni kwenye betting. Shetani anasingiziwa mengi tu kwenye zinaa, mauaji, wizi n.k. Ila shetani makazi yake rasmi ni kwenye betting. Shetani ni mpuuzi sana...
9 Reactions
30 Replies
742 Views
Ni kipaji cha hali ya juu kama sio upendo wa agape. Niwapongeze mnaoenda uwanjani kuangalia mechi za usiku Mbarikiwe sana sana Mnaofunga mpoo uwanjan nanyi Comgola yenuuuu
1 Reactions
5 Replies
193 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema nyasi za Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kupandwa upya. Makonda amesema hayo leo wakati akizungumza na viongozi wa...
1 Reactions
9 Replies
263 Views
Utani wa Mwigulu Nchemba kwa Klabu ya Simba, "Sasa hivi hawana Mshambuliaji"
2 Reactions
2 Replies
369 Views
Kamari ni mchezo mgumu sana lakini angalau kwa mbali ni bora kucheza kamari ya kutabiri, mfano michezo ya kutabiri matokeo ya mpira, ukitabiri team flani ishinde, kila timu ifunge goli, n.k...
8 Reactions
6 Replies
415 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb) amesema Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tayari imelipa takribani Dola za Marekani Milioni 32...
1 Reactions
13 Replies
627 Views
Waziri wa habari, sanaa,utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema kuna timu iliingia uwanja wa Benjamini Mkapa, ikachimba Nyasi za uwanja na kuweka dawa ambazo zimesababisha uwanja kuzalisha...
1 Reactions
21 Replies
559 Views
Mashabiki wanataka hela zao baada ya mechi ya TRA na Simba kuahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha huko Arusha. Askari wakaona njia pekee ya kutatua mgogoro huo wa mashabiki wameeanza...
8 Reactions
10 Replies
420 Views
Leo baada ya kupunwa na khanji ka laki kangu na kale katimu nikaamua niingie tu site nijue nimeliwa shingapi na kula shingapi ili nifanye maamuzi Nimeanzia kubeti 2019 mpaka kufikia siku ya Leo...
1 Reactions
30 Replies
856 Views
Hapa nani mkubwa kuzidi wenzie maana hapo hizo timu huwa sielewagi nani maarufu. Na yenye mashabiki wengi kuzidi zote hapo
1 Reactions
27 Replies
606 Views
Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule...
1 Reactions
4 Replies
152 Views
Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na...
3 Reactions
16 Replies
557 Views
Hanscana ame-share mkeka wake alioliwa jana baada ya timu moja kuchana. Uzuri mkeka huu aliupost kabla ya mechi. Una maoni gani?
10 Reactions
228 Replies
6K Views
Hili swali tuulizane tushauriane Why Viongozi wa Yanga pia mjiulize na wapi mnakoseaga mpaka jamaa achezi??
1 Reactions
4 Replies
208 Views
Back
Top Bottom