Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Msimu wa Ligi kuu ya NBCPL ulitamatika mwishoni mwa mwezi wa 5, 2024 na Yanga ndiyo alikuwa Bingwa Tuambie mambo gani yalikuvutia zaidi katika msimu huo?
0 Reactions
10 Replies
366 Views
Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah! Kama Mgunda anapewa...
3 Reactions
7 Replies
941 Views
Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana. Kuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
23 Reactions
76 Replies
6K Views
Hiki anachokifanya hapa Tabora kimesababisha nitoke nje kabisa ya uwanja. Siwezi kuendelea kuangalia Mechi inayochezwshwa kama Chandimu. Goli la Kwanza la JKT limetokana na double offside, lakini...
12 Reactions
26 Replies
3K Views
Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii mechi wamepewa kina dada pekee na mwanaume mmoja Tabora ni wananyongwa hadharani na line two Napenda JKT washinde ila sio kwa namna hii
6 Reactions
14 Replies
905 Views
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
[emoji573] HERE WE GO!!! [emoji573] Our exclusive #AfricaSoccerZone power rankings are out. [emoji471] African champions Al Ahly SC reign supreme in top spot, closely followed by Taraji and...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hiooo ni Fei Toto vs Yanga hukoo Zanzibar alipofanya hivyo tukampa dozi. Pemben ni Kibu Denis mechi ya vs Yanga, aliporudisha ikawa moja moja akaleta dharau tukamuadhibu. #Nisameheniibureeepls
3 Reactions
8 Replies
640 Views
Hii timu huwa inanishangaza sana. Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa. Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkapa, timu ya Simba itakuwa dimbani kuwakaribisha JKT Tanzania kwenye mchezo wa kufungia msimu. Mechi hii inategemewa kuwa na ushindani mkali sana...
5 Reactions
143 Replies
8K Views
#MICHEZO Unaambiwa baada ya video za Paredi la Ubingwa wa Yanga kusambaa duniani kote hivi karibuni zimezua gumzo huko nchini uingereza, ambapo hii ni mara baada ya Shabiki Maarufu wa Klabu ya...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu wanajukwaa, nawasalimu Kwa jina la jamhuri. Ama baada ya salamu, nichukue fursa hii kuzipongeza timu za Simba na Yanga Kwa kufanikiwa kuanza kampeni zao vyema kwenye hatua ya awali ya...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
“Tatizo ni timu kwa ujumla na sio mtu mmoja mmoja, tatizo ni timu nzima na kama timu haijatulia mfano hata kwenye eneo la Utawala maana yake itaathiri timu nzima" "Sijui tatizo limetokea wapi...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika Kusini anayekipiga Alhly ya Misri Hongera Simba
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Spika mstaafu Mhe. Job Ndugai amesema walijisikia vibaya sana Kocha wao Juma Mgunda alivyofananishwa na andazi. Ndugai amesema lakini walifurahishwa kwa jinsi Juma alivyojibu kwa hekima. Ndugai...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mashindano ya Mpira wa Miguu Tulia Trust Uyole Cup 2024 yanayofanyika katika Uwanja wa Mwawinji Uyole ya Kati Mbeya Mjini. Mashindano haya Yanashirikisha Timu 32 ambazo zimepewa Vifaa vya Michezo...
2 Reactions
2 Replies
380 Views
Back
Top Bottom