Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika. Simba SC Zamalek SC...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
1 Reactions
12 Replies
917 Views
Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kinjekitile Ngwale aliwaaminisha watu wake kuwa risasi za askari wa kijerumani zitageuka maji kwenye vita Ile ya majimaji. Hii iliwafanya watu wengi kujiunga na vita Ile, lakini kusema Kweli...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukikaa mtaani utasikia “MO NI TATIZO SIMBA HATOI HELA” basi unaanza kuusuka mkeka wa Tajiri ndani ya Simba. - Unamkumbuka Duncan Nyoni? Unamkumbuka Ismail Sawadogo? Unamkumbuka Victor Akpan...
5 Reactions
4 Replies
602 Views
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026. Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na aliyewahi kuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Steve Komphela ambaye hivi sasa yupo jijini Dar Es Salaam Simba Sc ambayo imekuwa chini ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana. Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga? Ulitaka kuonekana tofauti...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Wajinga wajinga wengi wanafurahi eti akina Magori wamerudi kuiokoa Simba, tena vyombo vya habari vya kijinga kabisa vinaandika Mamafia warudi Simba. Wana umafia gani sasa? Mafia enzi hizo alikuwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Kutoka saidia Fundi hadi kunyanyua Vikombe.
1 Reactions
4 Replies
575 Views
Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana lakini akipata watu haonekani, ni mchezaji ambaye ukimwekea watu wenye kazi ya kukaba, humuoni, atabaki kulalamika tu kuwa anachezewa rafu. Wachezaji watatu...
2 Reactions
7 Replies
855 Views
Kombe la kwanza kufikishwa kwenye kilele Cha mlima mrefu zaidi Africa mlima Kilimanjaro na mabingwa wa kihistoria ..,..mabingwa wa mara 30 Young Africans Cc:Privaldinho NB: wengine walipeleka...
15 Reactions
43 Replies
2K Views
Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom