Job Ndugai: Tulijisikia vibaya sana Kocha Juma Mgunda kufananishwa na Andazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,031
142,090
Spika mstaafu Mhe. Job Ndugai amesema walijisikia vibaya sana Kocha wao Juma Mgunda alivyofananishwa na andazi.

Ndugai amesema lakini walifurahishwa kwa jinsi Juma alivyojibu kwa hekima.

Ndugai hajasema lolote kuhusu CCM kulinganishwa na ANDAZI 😂😂

===

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa ambaye ni Shabiki wa Simba, Job Ndugai amesema Mashabiki wa Klabu hiyo walijisikia vibaya Kocha wao Juma Mgunda alipofananishwa na andazi lakini walifurahi jinsi Mgunda alivyojibu kwa busara.

Ndugai amesema hayo leo katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Wanachama wa Simba ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Tulijisikia vibaya kocha wetu Juma Mgunda alivyofananishwa na andazi lakini tulifurahi alivyojibu kwa busara, hongera sana Mgunda"

FzkdYREWIA4eBKW.jpg
 
hatujaingia mkataba ila HAYA ni makubaliano.mkataba Ni NINI na makubaliano Ni NINI MKATABA NI MAKUBALIANO KATI YA PANDE KADHAA ZINAZOHUSIKA,JINSI YA KUENDESHA/KUTIMIZA/KUSHUGHULIKIA JAMBO/ MAMBO WALIYOPANGA. WAWEZA KUWA makubaliano ya KUPANGISHA, KUKODISHA, KUUZIANA MALI, KUAJIRIWA,KUOANA,NK. Hauwezi kusema kuwa SIJAOGA ILA NIMEJIMWAGIA MAJI NA KUJISUGUA NA SABUNI.
 
Back
Top Bottom