Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa. Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
"Tatizo kubwa la Simba ni kuajiri watu wasio na weledi. Kama Simba SC wanataka kufanikiwa wanapaswa kuachana na watu wasio na weledi" "Simba kwa sasa inahitaji 'PROFESSIONAL PEOPLE' watu wenye...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
7 Reactions
67 Replies
4K Views
Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya wababe Simba, Yanga na JKT, hatimaye timu ya Simba wanawake wameibuka mshindi wa kombe hilo la Ligi kuu wanawake baada ya kuifunga Alliance girls ya...
2 Reactions
11 Replies
993 Views
ANGALIZO TU TUNUKUU TAR YA LEO .KWA USHINDAN WA TIMU ZIJAZO LIGI YA NBC SIMBA NIWAPE TAHADHARI MSISHANGAE MKAWA WA NNE LIGI INAPOKWISHA NA MSISHANGAE N MABADILKO NCHI TUUU ANDIKA TAR YA LEO NA...
1 Reactions
6 Replies
601 Views
Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000...
1 Reactions
1 Replies
436 Views
FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 5 za nyongeza 88' Shambulizi kali langoni mwa Yanga lakini kipa Diarra anafanya kazi nzuri ya kuzuia 82' Morrison ametoka, ameingia Farid Musa 80' Wachezaji...
8 Reactions
889 Replies
49K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe. Natanguliza shukrani Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
"Propaganda zilizofadhiliwa zimefikia hatua ya kuchukiza sana kama vita za kisiasa. Kwani hatuwezi kuona kikamilifu nyuma ya hii Content rahisi iliyolipiwa ?! " ©️ Barbara Gonzalez CEO wa zamani...
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Feisal ameulizwa ulipofunga uliweka isharaaaa uwanja mzima washike adabu ndio.... Je, unakumbuka baba na mama walikuwa uwanjan kaanza kucheka hahahaa kwahio wazazi wako nao washike adabuuuuu...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Mayele huwa anajifunza sana kufunga na bahati anayo pia. Senegal walipata goli dakika 45+1 ikawa 1-0. Mayele aliingia dakika ya 84 na dakika ya 85 akafunga goli na mchezo ukaisha 1-1. Kama...
4 Reactions
1 Replies
568 Views
Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza. "Muda wa taarifa kubwa haupo mbali. Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa...
6 Reactions
10 Replies
942 Views
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa Simba wako mbioni kukamilisha usajili wa kocha mmoja kutoka Afrika ya Kusini. Kama tetesi hizi ni za kweli basi simba watakakuwa wanakosea, huu ni mtazamo...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Kama huyu mchezaji ataendelea kuwepo kwenye kikosi cha Yanga kwa msimu inayokuja, basi apewe kitambaa cha unahodha huyu mwamba. Mwamnyeto bado yupo nyuma nyuma sana hasa kwenye tukio kama lile la...
15 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom