Habari zenu,
Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
"Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani...
Kwa ufupi sana.
Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu.
Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na...
Salaam Wanajukwaa,
Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African...
Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara.
KMC imeendelea kuwa na hali...
Kinachoendelea Dili ya Clement Mzize Kuelekea ESPERANCE SPORTIVE DE TUNIS ni Masikitiko Makubwa.👀👀
Dili ya Clement Mzize Kwenda Esperance Sportive de Tunis Linakaribia Kabisa Kuota Mbawa
Yanga...
MATCH DAY
Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji.
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan...
Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika...
https://youtu.be/dytqapjk4Qw?si=8FYtt5wPiJNBozBu
Kwa mujibu wa mitandao hilo ndio goal la Puskat kwa mwaka jaza. Ukilinganisha goal la Chama ni hatari kuliko hili...
Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani.
TFF sio wajinga kuweka...
Tofauti ya mashabiki wa kolo na wananchi ni hii..
Makolo wamesubiri huu ushindi kwa mda mrefu sanaaaaaa ila tangu juzi washinde sijaona shabiki yoyote Wala wachambuzi wa makolo wakiwasifia...
Match Day
Kariakoo Derby
Vikosi VINAVYOANZA.
Updates...
Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni...
Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba...
Ushamba na umaskin ..unaweza kua na hela ukawa mshamba tu. Kila anaejua Mpira anafaham majukumu ya beki mzuri wa kimataifa, kila mtu anajua pale kulikua na utelezi sababu ya Hali ya uwanja na mvua...
Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu...
HATIMAYE Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State, ametua nchini jana Jumapili kwa ajili ya kuendesha kambi...
Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu...
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Baba Levo, ametoa ushauri kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwekeza zaidi katika maendeleo ya timu ya taifa, hususan kwa kuwajengea uwezo...
Huo NDIO ukweli.
Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni.
Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na...