Taarifa za uhakika zinasema anayedaiwa kuwa Mwanachama wa Simba SC ambaye anajulikana kama "Mhindi wa Simba" anashikiriwa na Polisi kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo kuichafua biashara ya Kampuni ya...
Wawakilishi wa nahodha wa England Harry Kane,33, wamefanya mazungumzo na klabu ya Al-Hilal ya Ligi ya Pro ya Saudi Arabia, huku mshambuliaji huyo wa Bayern Munich akiwa tayari kuhama hapo baadaye...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuufunga kwa muda wa miezi miwili Uwanja wa New Amaan Complex kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa eneo la kuchezea (pichi), kwa kung’oa...
Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa...
1. Vilabu vya Yanga na Azam vinawania saini ya Ramadhani Chobwedo kutoka TRA United
2. Buba Jmameh ataachwa na Yanga mwishoni mwa msimu huu ( Done deal)
3. Kelvin Nashon anatakiwa na Simba SC. (...
Nguvu moja!!!
Habari zenu Wana-JamiiForums na Wanasimba wanaoumia na timu hii,
Imefika hatua sasa hapa Simba SC lazima tuambiane ukweli mchungu hata kama unauma. Kuna usaliti mkubwa wa kiufundi...
Siyo siri naangalia mechi hapa na Kagera naona Simba wanacheza hovyo sana,hawana morali,wanacheza kama wapo mazoezini.
Hii timu kwa sasa inakatisha tamaa
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kupitia Mwenyekiti wao Nasra Mohamed Ramadhani umeitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumfuatilia kwa umakini Makamu Mwenyekiti...
Nasikia Doumbia kawaka huko mazoezini anatupia kama goal machine aisee. Kuna watu wataaibika, hili linaenda kuwa goat la CAF.
ASANTE MO NA MAGORI KWA USAJILI USIO NA MIHEMKO.
Siku ya utambulisho ilipofika saa 7 mchana uwanja ulikuwa umejaa, watu nje wanasukuma mageti wanataka kuingia ndani! Wengine wakabaki nje hadi barabarani.
Tiketi za vishina ambazo tulikuwa...
Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya...
Timu ya wanaume ya Israel imetwaa medali ya dhahabu katika marathon ya timu kwenye Mashindano ya Riadha ya Ulaya 2026 yanayoendelea Birmingham, England, baada ya kuwazidi wapinzani wake wa karibu...
Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI...
Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani.
Football Video Support (FVS) kwenye ligi ya NBC mpaka...
Cristiano Ronaldo ametoa kauli inayoweza kuwa ishara kubwa ya mwisho wa safari yake ya soka, akisema mwaka 2026 huenda ukawa mwaka wake wa mwisho kucheza soka la kulipwa.
Akizungumza katika...
Chelsea wameweka thamani ya pauni milioni 100 (sawa na shilingi bilioni 400) kwa Pedro Neto iwapo klabu hiyo itaamua kumuuza winga huyo Mreno katika dirisha hili la usajili.
Pedro mwenye umri wa...
Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026.
Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe...