Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa heshima na taadhima naomba huu uzi usihamishwe. Wakuu nataka kujaribu bahati yangu, nina kiasi hiko cha fedha nikigawanye Nikigawanye mara tatu, nusu fainali kati ya Argentina na England...
5 Reactions
45 Replies
892 Views
Tickets for the later stages of the 2026 FIFA World Cup are commanding record-high prices. Resale and official last-minute tickets are generally starting between $1,000 to $2,000 for...
3 Reactions
3 Replies
245 Views
Kufuatia kuongezeka kwa joto la mivutano baada ya Senegal kungolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia, serikali ya nchi hiyo imeingilia kati na kuliagiza Shirikisho la Kandanda la Senegal (FSF)...
1 Reactions
0 Replies
110 Views
Ni kama pigo ila naona nguvu za kuchezea pesa zinatumika kujisafisha. Kwa haya yaliyopo tanzania kama mambo yataendelea basi Rwanda kashasoma mchezo.
11 Reactions
55 Replies
1K Views
Tiketi ni za moto sana na maisha ya USA yapo juu mno ndio maana atuoni matangazo ya makampuni kutoa ofa ya watu kwenda kuona hata mechi moja Tiketi ya bei chee ni 30m+ huu ni mtaji
6 Reactions
23 Replies
443 Views
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeanzisha mauzo ya vipande vya nyasi halisi vitakavyotumika kwenye mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2026, hatua iliyozua mjadala mkubwa...
2 Reactions
3 Replies
195 Views
Kamati ya Mashindano ya TFF imeitoza Azam FC faini ya shilingi milioni 50 kwa kukataa kushiriki kwenye sherehe za kukabidhiwa tuzo na zawadi baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA)...
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Zangu Fundi na kwa Kujiamini kabisa nina uhakika 4 zitatoboa hadi Nusu Fainali, 2 Fainali na 1 kuwa Bingwa kabisa 1. ARGENTINA 2. GERMANY 3. SPAIN 4. MEXICO 5. NETHERLANDS 6. SENEGAL 7. GHANA Na...
9 Reactions
47 Replies
692 Views
  • Featured
Ronald Koeman amejiuzulu rasmi kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 katika hatua ya 32 bora kufuatia kufungwa na Morocco kwa mikwaju...
7 Reactions
66 Replies
1K Views
Ni aibu kwakweli nilipita Songea uwanja wa maji maji nilikuwa naangalia mpira mchezaji akapiga shoot kwa kipa kipa akaukosa ukapaa juu hadi nje ya uzio wa ukuta yaan ukawapita mashabiki hadi nje...
8 Reactions
30 Replies
492 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine timu 4 bora kila mmoja anacheza na mwenzie katika mfumo wa league?? Just imagine how enjoyable that thing might be. Huu mtindo wa mechi moja Nusu...
2 Reactions
22 Replies
291 Views
  • Featured
Shirikisho la Soka la Senegal limemfuta kazi kocha mkuu Pape Thiaw na benchi lake lote la ufundi baada ya kutolewa katika hatua ya 32 bora, wiki chache tu baada ya kusaini mkataba mpya kabla ya...
6 Reactions
17 Replies
581 Views
Nikweli ni yeye Mchezaji wa Yanga SC Ibrahim Bacca amejikuta kwenye doso Kali baada ya kurejea kazini kwake kwenye kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM) huku akiulizwa kwanini alifungisha...
1 Reactions
9 Replies
365 Views
Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji...
15 Reactions
59 Replies
5K Views
  • Featured
Hapa hata Taifa Stars itapata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia au Wadau mnasemaje? Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amesema shirikisho hilo litajadili uwezekano wa kuongeza idadi ya timu...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Kombe la Dunia (FIFA World Cup) limechukuliwa na mataifa 8 tu tangu mashindano hayo yaanze mwaka 1930. Brazil ndiyo nchi yenye mataji mengi zaidi ya Kombe la Dunia ikiwa na mataji 5. Bingwa wa...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nimemtumia siku tatu kufanya marejeo ya videos na clips mbali mbali zinazohusu matukio yaliyotokea kwenye mechi ya hatua ya 16 Bora kati ya Argentina na Egypt. Nimefikia muafaka huu...
2 Reactions
16 Replies
381 Views
Goli la kuvutia la muda wa nyongeza lililofungwa na Julián Álvarez liliizamisha Uswisi, iliyokuwa ikicheza na wachezaji 10, na kuipeleka Argentina nusu fainali.. Kuna mtu alifikiria wangefanya...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Klabu ya Young Africans imemtangaza rasmi kocha raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha wao mkuu mpya atakayeongoza benchi la ufundi la mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara...
8 Reactions
25 Replies
800 Views
Ebu wale waswahili wanaoishabikia Argentina wapitie hii video halafu wajitafakari. https://youtu.be/5Tp7uBeT0qI?si=Sw1A7kp4uiRfNoeR
5 Reactions
15 Replies
346 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…