Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Bumbwini Unguja, Zanzibar Mwinyi Jamal Ramadhani ameuliza swali la Nyongeza kwa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo juu ya mpango wa serikali kuunganisha Ligi kuu Bara...
0 Reactions
3 Replies
197 Views
Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥 Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa...
14 Reactions
88 Replies
1K Views
Leo kivumbi kingine kwa Morroco baada ya kumkalia kooni Brazil mechi ya kwanza. Sina wakumshabikia hapa. Ila nataka wafungane mkeka wangu uendelee kupumua tu
2 Reactions
4 Replies
296 Views
Nevada authorities have charged boxer Floyd Mayweather with two felony counts stemming from allegations that he passed a bad check to make a $200,000 purchase. Mayweather, 49, is facing charges...
2 Reactions
8 Replies
200 Views
He deserve aisee. Na kama haitoshi kama the most rated player 8.5/10
12 Reactions
15 Replies
316 Views
Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka la ubakaji, waendesha mashtaka wa Ufaransa wamethibitisha. Mwanamke mmoja alimshutumu beki huyo wa klabu ya Paris...
1 Reactions
23 Replies
458 Views
Hakuna siri ya kushinda Aviator — lakini kuna njia za busara za kudhibiti bankroll yako na kufurahia sessions ndefu zaidi. Utafute "mikakati ya Aviator" na utapata kurasa mamia zinazoahidi...
2 Reactions
11 Replies
539 Views
He's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga...
33 Reactions
172 Replies
2K Views
Wenyeji wenza wa Kombe la Dunia, Marekani (USA), na washiriki waliofuzu kutoka Asia, Australia, watachuana jijini Seattle. Mshindi wa mechi hii ana nafasi kubwa ya kujihakikishia nafasi ya kwanza...
0 Reactions
1 Replies
140 Views
Mashabiki wa timu ya taifa ya Scotland wanajulikana kama Tartan Army ambayo iko kwenye group C na wanatarajiwa kupambana na Morocco leo kwenye Boston Stadium (Gillette Stadium) walivamaia jiji la...
2 Reactions
0 Replies
166 Views
Tunaoumia ni mashabiki wa Ureno. Ronaldo anapaswa kukubali kwamba huenda asiifikie rekodi anayoiwinda, na wakati umefika kuipa nafasi kizazi kipya kuibeba timu. Ureno ni kubwa kuliko mchezaji...
2 Reactions
16 Replies
275 Views
Kiungo wa Canada, Ismaël Koné, amepata jeraha kubwa la kuvunjika mguu kufuatia rafu mbaya aliyofanyiwa na mchezaji wa Qatar, Assim Madibo. Baada ya tukio hilo, Madibo alionyeshwa kadi nyekundu...
1 Reactions
6 Replies
220 Views
Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uingereza (Premier League) 2026/2027 utaanza rasmi Ijumaa, Agosti 21, ambapo Arsenal watakuwa wenyeji wa Coventry saa 20:00 usiku. Siku ya Jumamosi, Agosti 22, Manchester...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup. Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa...
3 Reactions
17 Replies
283 Views
Mchezaji wa Singida Black Stars Mossi Nduwumwe amefikisha mabao 12 msimu huu baada ya kufunga hat-trick yake ya kwanza, ambayo pia ndiyo ya pekee hadi sasa katika Ligi Kuu Tanzania Bara. Wengi...
2 Reactions
7 Replies
372 Views
Leo Simba wapo tena uwanjani dhidi ya Mbeya City Simba kwa mara ya kwanza kwenye msimu huu wanacheza mechi ya mchana tena jua kali na hili jua kali liwawakie tu Mbeya City VS Simba SC | Ligi Kuu...
2 Reactions
27 Replies
673 Views
Pamoja na kufunga goli la kuongoza katika dakika ya 59 kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya Korea Kusini, Jamhuri ya Cheki (Czech Republic) walipoteza mwelekeo na hatimaye...
3 Reactions
20 Replies
478 Views
Yanga Bingwa. Tena na Tena. Leo tunawachapa hawa mashupaa... Maana si mashujaa... Tunazidi kukaa kileleni. Tunaamua wenyewe tuwachape baos ngapi. Mbwa hawa.
3 Reactions
3 Replies
190 Views
Mechi inachezwa Seattle Marekani kati ya Ivory Coast vs Equador.... Mimi mtazamaji nipo wilayani Kiteto, Manyara Tanzania......nafuatilia mechi live kwenye TV. Mtangazaji wa chanel ninayotazama...
2 Reactions
8 Replies
295 Views
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Foutanegate katika mchezo wa ligi uliochezwa leo. Mabao ya Yanga yamefungwa na Stephane Aziz Ki...
2 Reactions
18 Replies
484 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…