Gwiji wa soka duniani, Luis Figo, ametoa mashambulizi makali dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaka aondoke madarakani mara moja akidai uongozi wake...
Droo ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) msimu wa 2026/27 inatarajiwa kupangwa leo Agosti 6, 2026, katika makao makuu ya CAF jijini Cairo...
ASANTE GSM, ASANTE BILIONEA! ππ
Straika bora Afrika, Peter Shalulile, sasa ni mali ya Wananchi.
Nguvu mpya safu ya ushambuliaji. Karibu nyumbani, Shalulile! π₯β½
============
Yanga SC...
Baada ya uongozi wa Try Again na Mangungu kusuasua na timu Kufanya Vibaya kitaifa na kimataifa na kua zinafanyika Sajili mbovu na za kipigaji kuletwa wachezaji wasio na Uwezo, kama
Pah Omar Jobe...
Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa...
Agosti 5, 2026, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeomba radhi kutokana na makosa yaliyofanywa katika mchakato wa pendekezo lililoondolewa la kuuza haki za kibiashara zinazohusiana na Kombe la...
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino, ameomba radhi kwa makosa yaliyofanyika katika mpango uliokuwa ukilenga kuuza sehemu ya hisa za mashindano ya FIFA kwa wawekezaji binafsi...
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said anasikitika kuwatangazia kuwa Ngao ya Jamii 2025 imeibiwa wakati wa kusherehekea Parade Yao na ameomba Kwa aliyechukua Ngao hiyo anaombwa airejeshe Makao...
Hili nimeliwaza tu huu mda, waza hata na wewe!!
Hivi ushawahi kuona wapi Team kubwa na inayotawala soka katika Nchi husika inabadili ma golikipa kila baada ya msimu mmoja?
Niambie tu wapi huko...
Winga wa Real Madrid, Vin Jr amefuta picha zote kwenye mtandao wake Instagram leo Jumatano Agosti 5, 2026.
Winga huyo ambaye anahusishwa na Arsenal amefuta picha zote kwenye mtandao huo pamoja na...
Jeshi la Polisi Mkoani Geita limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama vinatawala kuelekea msururu wa matukio makubwa ya kimichezo na kijamii yaliyopangwa kufanyika leo, Agosti 4, katika...
Naaam !!! Habaari za uzima Mabibi na bwana , ni yule yule kijana wenu NALIA NGWENA zee la football sikuhizi nimepewa jina jipya naenda kama WATA PLEYA
Nisiwachoshe sana twende kwenye Maada kuu...
Simba kinachowatesa mmekua waoga sana mnaona akiondoka Mo hamuwez pata Tajiri mwingine ndio shida hio..
Nimesema jana na ninarudia simba viongozi wengi ni mashabiki wana mihemuko sana ya...
Nahodha wa klabu ya SC Villa ya Uganda, David Owori, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi karibu na nyumbani kwake.
Taarifa za kifo cha Owori, zimethibitishwa...
FIFA imepanga kuunda kampuni mpya ya kibiashara iitwayo FIFA Forward Enterprise, yenye thamani ya takribani $20 Bilioni (karibu TZS Trilioni 50) kisha itauza 20% ya hisa za kampuni hiyo kwa...
Rais wa FIFA Gianni Infantino amewaita viongozi wakuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwenye mkutano nchini Morocco siku ya Jumatano, tarehe 5 agosti, kufuatia siku nyingine ambapo rais wa...
Ni kweli kwamba PSG imekuwa na dirisha bora la usajili, kuanzia Lucas Digne hadi Akliouche na Mika Godts. Lakini hatua wanayoikaribia sasa inaweza kuwa usajili muhimu zaidi wa msimu wao.
Kwa muda...
Kwa Upumbavu wa Kugombana ulioanza tena Klabuni Simba kwa Kiongozi wa Wanachama Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi Poti wangu kutoka Mkoa wa Mara (Musoma) Crescetius Magori kuanzia leo hapa...