Miss Halima
Senior Member
- Aug 4, 2026
- 170
- 382
Gwiji wa soka duniani, Luis Figo, ametoa mashambulizi makali dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaka aondoke madarakani mara moja akidai uongozi wake umeathiri heshima ya taasisi hiyo kubwa ya soka. Mchezaji huyo wa zamani wa Ureno amedai Infantino amekuwa akifanya uamuzi unaolenga zaidi maslahi yake binafsi kuliko kulinda maslahi ya soka duniani.
Luis Figo
Figo amehoji kwa nini mipango mikubwa inayohusu mabadiliko ya kifedha ndani ya FIFA haikuwekwa wazi kwa wanachama wote kabla ya Fainali za Kombe la Dunia, akisema kama ilikuwa na manufaa makubwa ilipaswa kujadiliwa kwa uwazi.
Rais wa FIFA, Gianni InfantinoSoma
Luis Figo
Figo amehoji kwa nini mipango mikubwa inayohusu mabadiliko ya kifedha ndani ya FIFA haikuwekwa wazi kwa wanachama wote kabla ya Fainali za Kombe la Dunia, akisema kama ilikuwa na manufaa makubwa ilipaswa kujadiliwa kwa uwazi.
Rais wa FIFA, Gianni Infantino