Kuna matches kadhaa nliona kuna teams zimetumwa kuumiza wachezaji wa Mikia. Zipo wala si suala la kubishana na nlisema tusifurahie. Tusifike huko. Kuna siku itatokea kwetu.
Leo imetokea. Faulo...
Ulishaona wapi, mchezaji wa Afrika atajituma kuifunga nchi ya Ulaya ambayo wao hao wachezaji wa kiafrika wanapata ugali wao.
Kitakachotokea ni kuchimbwq biti na kuuza match tu.
Hatuwalaumu...
Ivory Coast na Norway Wakutana kwa Mara ya Kwanza Hatua ya Mtoano ya Kombe la Dunia 2026
Timu mbili ambazo hazina uzoefu mkubwa katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia, Ivory Coast na Norway...
Wachezaji wa Pamba Jiji FC wametishia kususia mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union wa Juni 30, 2026, kutokana na kile walichodai kuwa ni kucheleweshewa malipo ya...
Kuwezeshwa kwa wanawake hapa inamaanisha wanawake kupewa kipaumbele kwenye elimu, ajira, utawala, pia mabadiliko ya sheria, pamoja na mabadiliko ya kiutamaduni
Tafiti zinaonyesha kuwamkeuwa na...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua ukweli kuhusu madai ya wachezaji wa timu ya Pamba Jiji FC kutolipwa mishahara yao ya miezi mitatu na tetesi za wao kugoma kuingia uwanjani.
Hoja ya...
Kama una mtoto, mnunulie pool table mfundishe kucheza umnoe kila siku, hadi anakuja kufikisha miaka 18 anakua amebobea, anakua unbeaten ambapo kwa uhakika atakuwa GOAT wa pool table.
Baada ya...
Hii imeingia kwenye historia na inaonesha Yanga ina uwezo mkubwa wa ku-scout Wachezaji wenye vipaji.
Hongera Sana kwa Mayelle
Soma Pia: Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia
Tukiweka utaratibu wetu (Siri ya ndani) Kila kombe la dunia kupeleka timu 2 mpya hakika tutaona maajabu.
Hili litawezekana tu kwa kuanzia chumbani ndio tuje sebuleni (vilabu hadi timu za...
Uongozi wa JKT Tanzania FC umetoa taarifa kwa umma ukieleza kusikitishwa na tukio la kuumia kwa kiungo wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, baada ya kugongana na mchezaji wa JKT Tanzania, Hassan Wahabi...
Baada ya kukosa ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba SC amesema; "Kukiwa na mazingira ya kiushindani na timu zote 16 zinazoshiriki Ligi Kuu zikitendewa kwa...
Timu ya taifa ya mpira Brazil ina mashabiki wengi sana wakereketwa nchini Bangladesh.
Kwenye Video hapo chini wabangladeshi waliwehuka na kushangilia kwa kishindo goli la kusawazisha lililofungwa...
Wakuu kwema lakini?
Nataka nicheki game la Morocco na wazungu full game, acha pes. Ni really yenyewe! Naombeni mnisaidie kwa hilo. You tube kila nikifungua nakutana na clip not really
Morocco...
Mchezaji tegemezi wa club ya yanga africa amepata majeraha makubwa baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa tim pinzani leo na kusabisha mguu kuvunjika na kukosa sherehe za ubingwa
POLENI WANA YANGA
Yanga wamebeba tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara 5 mfululizo
Ambapo msimu huu wa 2025/ 2026 ilionekana kama kutobeba ubingwa huu lakini wameonyesha ubabe wao tena
#####
Vinara wa ligi kuu...
#GGMU
Wana MAN UTD, kwa jinsi inavyoonekana tushawapoteza tonali, mateus fernandes, elliot anderson. Unafikiri gani tunapaswa kumfukuzia sasa hivi kwa bidii
Ni kiungo yupi anafaa sasa wa kuchukua?
"Kama goli hilo la Ujerumani limekataliwa na VAR, basi Arsenal isingetakiwa kutwaa ubingwa wa England (Premier League). Asilimia 60 ya magoli waliyofunga yalikuwa ya aina hiyo.”
Juni 30, 2026...