Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

GB64 akamatwa kwa kuhamasisha vurugu kuelekea mchezo wa kariakoo derby Kamanda Muliro akielezea usalama kuelekea derby Mbona hatukusikia hao makomandoo wamekatwa na usalama umeimarishwa?
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia kwa karibu sana mchezo wa soka siku ya Jumamosi tarehe 20 Aprili 2024 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Yaani nikiona Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya Maadili TFF mmemsamehe Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara baada ya Yeye leo Kuwaombeni Radhi nitawadharau na Kuwachukia Milele. Rais wa TFF...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa. Pia...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Mimi siupendi uongozi wa Mangungu hata kidogo, cmpendi pia Try Again wala Ceo Iman Kajula. In a nutshell, wameshindwa kuleta furaha Simba na hawastahili kuendelea kutuongoza kabisa kabisa...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Presha inazidi kupata kulekea hapo kesho 19 Oktoba kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo itakyowakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo huu utakaochezwa katika Dimba la Benjamin...
2 Reactions
4 Replies
716 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo nyota wa timu ya Yanga SC, Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora kwenye...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais wa TFF, Wallace Karia tokea ameingia madarakani Timu ya Taifa “Taifa Stars” [emoji91][emoji91][emoji91]
1 Reactions
6 Replies
565 Views
Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania. Simba...
5 Reactions
17 Replies
894 Views
Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa Inaonekana dhahiri Rais Karia...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Mwenye kujua ukweli wa Rais wetu ni shabiki wa timu gani kati ya hiz mbili simba na yanga? Plesase atufahamishe
0 Reactions
7 Replies
787 Views
Kwa akili ya kawaida tu wala you don need to go to school kwamba Zungu katumwa kufanya uchochezi kwa niaba ya wana utopolo. Wamemtuma kuropoka na sio vinginevyo, wako nyuma yake, wao wanamlipa...
0 Reactions
10 Replies
767 Views
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi uzinduzi wa uwanja wao mpya wa kisasa unaoitwa Airtel Stadium, uliopo katika eneo la Mtipa, mkoani Singida. Uzinduzi wa uwanja huo mpya wa klabu...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine...
5 Reactions
17 Replies
723 Views
Dunia nzima weekend ni muda wa burudani,wiki ya nne hii nafuatilia hakuna mechi weekend why?
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Natamani mchezo wa soka uwe wa vipaji,uwezo na jitihada za mchezaji kama ilivyo kwa nchi za ulaya. Kuwe na adhabu kali kwa timu itakayodhihirika wazi kuwa inatumia ndumba ama imani za kishirikina...
0 Reactions
4 Replies
282 Views
Back
Top Bottom