Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Emmanuel Arnold Okwi hii leo ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Uganda akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuhudumu kwa miaka 16 na 'The Cranes'. Nyota huyo wa zamani wa Simba na...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeshuhudia kauli zinazoshangaza ,eti Yanga inamuogopa Simba! Jamani, kweli hii ni Yanga mnayozungumzia? au kuna Yanga nyingine? Hakuna timu hapa Tanzania...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni" Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani. Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda...
1 Reactions
20 Replies
837 Views
Kampuni hii ya michezo ya bahati nasibu imepiga bingo kwa zaidi ya asilimia 60. Ikunbukwe kuwa south Kuna miamba wengine wa betting kama betway na hollywoodbet . Hata hivyo mapato hayo...
1 Reactions
23 Replies
953 Views
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu. Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi...
4 Reactions
102 Replies
4K Views
Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia...
3 Reactions
6 Replies
531 Views
Kama ulikuwa unataka Kumsema Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na Chuki zako Binafsi basi ungetafuta right platform ya Kumsema lakini siyo wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wako wa Haji Manara...
2 Reactions
5 Replies
623 Views
Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza. Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match! Bodi mngeahirisha game...
0 Reactions
6 Replies
344 Views
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani. Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over... Mjue Nini...
7 Reactions
24 Replies
940 Views
"Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu...
1 Reactions
10 Replies
524 Views
Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali...
2 Reactions
3 Replies
609 Views
Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo nimeona waandishi baadhi wa habari wakimsifia Karia kwa mafanikio yake mbalimbali ya soka ikiwemo timu yetu ya taifa kufuzu AFCON mara nyingi kuliko kipindi chochote kile.Sifa hizi ndio...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
GB64 akamatwa kwa kuhamasisha vurugu kuelekea mchezo wa kariakoo derby Kamanda Muliro akielezea usalama kuelekea derby Mbona hatukusikia hao makomandoo wamekatwa na usalama umeimarishwa?
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia kwa karibu sana mchezo wa soka siku ya Jumamosi tarehe 20 Aprili 2024 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Yaani nikiona Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya Maadili TFF mmemsamehe Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara baada ya Yeye leo Kuwaombeni Radhi nitawadharau na Kuwachukia Milele. Rais wa TFF...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa. Pia...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Back
Top Bottom