Hajui kama kuna maandalizi ya timu za taifa hasikilizi taarifa ya habariAcheni ujinga. Ligi iko kwenye international break.
Intwrnational break ni wikiend ijayoAcheni ujinga. Ligi iko kwenye international break.
Hayo maandalizi tunafanya peke etu? mbona ligi nyingine zote zinaendelea wikiend hiiHajui kama kuna maandalizi ya timu za taifa hasikilizi taarifa ya habari
Timu yetu ya Taida inahitaji muda wa kutosha kwaajili ya maandalizi ya game ili wachezaji wa Simba na Yanga wazoane na kutengeneza chemistry ya mpira na physics ya mechi. Kuwa Mzalendo kwa nchi yakoHayo maandalizi tunafanya peke etu? mbona ligi nyingine zote zinaendelea wikiend hii
Hii mechi ya ligi gani leo?Hili ni bonanza ndio maana ratiba IPO IPO tu
Anyway Leo ni arsenal na new castle baadae sana Barca na atletico
Mambo Yako ulaya
Wanatukomoa tunaolipa 28k azam tv kwa ajili ya kuona nbc pl matches. Miezi miwili tumeona mechi mbili tu.Dunia nzima weekend ni muda wa burudani,wiki ya nne hii nafuatilia hakuna mechi weekend why?
Kwamba maandalizi yanafanyika Tanzania pekee?Hajui kama kuna maandalizi ya timu za taifa hasikilizi taarifa ya habari
Timu za taifa za Africa 🌍 kumbuka kanuni mmezitengeneza wenyewe,hata hivyo hatuwezi kuendesha Ligi yetu kwa kufuata ratiba ya ulayaKwamba maandalizi yanafanyika Tanzania pekee?
Mbona Ulaya wanacheza?
Wakati mwingine bora mtu kwenda kuangalia hizo mechi kwenye kibanda umiza.Wanatukomoa tunaolipa 28k azam tv kwa ajili ya kuona nbc pl matches. Miezi miwili tumeona mechi mbili tu.
Kifurushi cha sasa kikiisha, azam tv bye bye