Kamanda Jumanne Muliro atoa tahadhari watakaoenda kwenye dabi ya Simba na Yanga kudumisha amani na kuepuka vurugu

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
464
1,136
Presha inazidi kupata kulekea hapo kesho 19 Oktoba kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo itakyowakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo huu utakaochezwa katika Dimba la Benjamin Mkapa.

Sasa ulinzi na usalama napo umechukua nafasi. wale watakaojifanyia kupagawa basi watakutana nacho
=============
Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro, limewakumbusha Mashabiki wa soka watakaoenda kwenye mchezo wa kesho wa Simba na Yanga kudumisha amani na kuepuka vurugu.

Soma Pia: Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

 
Back
Top Bottom