Wakuu
Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake
Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa...
Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!!
Hii ligi imekua kama Ya Simba...
Niliwahi kusikia kuwa Klabu ya Yanga huhonga Makocha wa Timu za Taifa za Kigeni ili wawaite Wachezaji wao kwa ajili ya Kuwaongezea Thamani katika Mauzo ya baadae na pia kuingozea Thamani Yanga SC...
Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu...
Manchester United
Aprili 1 - Nottingham Forest (u)
Aprili 6 - Manchester City (n)
Aprili 13 - Newcastle (u)
Aprili 20 - Wolves (n)
Aprili 27 - Bournemouth (u)
Mei 3 - Brentford (u)
Mei 10 - West...
Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga)
Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na...
Embu tuwe wakweli kidogo, jumuisha Marais wote wa Nchi, Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara, Marais na Wenyeviti wa TFF na FAT, hakuna hata mmoja ukichukua mafanikio ya mpira nchini...
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Mzee Mnguto anadai hii iliyotokea juzi ya Simba sio kesi kubwa kuliko ile ya Yanga kugomea 2021 ile Yanga kama Bodi wangefuata sheria ilipaswa washuke daraja kabisa.
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.
Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.
Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua...
Nilikuwa naongea na mshabiki mmoja kindakindaki wa Yanga akaamua kufunguka kwa nini wanaonekana kummind sana Mzee Steven Mguto na Bodi yake ya Ligi.
Nilimsikia jamaa akisema, "kwanza jina lake...
Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu.
Sasa hili sakata la Nigeria...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia
"Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi...
hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa.
Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa.
Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula...
Nitawashangaa Kama Mtakubali Kupeleka Timu kwa Tarehe Itakayopangwa. Mkumbuke Mna Sakata la Kumitmua Kocha Miguel Gamond Siku Chache Kabla ya Kuanza Kwa Mashindano ya Klabu Bingwa Hali...
Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo.
Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.