Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa akili ya kawaida tu wala you don need to go to school kwamba Zungu katumwa kufanya uchochezi kwa niaba ya wana utopolo. Wamemtuma kuropoka na sio vinginevyo, wako nyuma yake, wao wanamlipa...
0 Reactions
10 Replies
767 Views
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi uzinduzi wa uwanja wao mpya wa kisasa unaoitwa Airtel Stadium, uliopo katika eneo la Mtipa, mkoani Singida. Uzinduzi wa uwanja huo mpya wa klabu...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine...
5 Reactions
17 Replies
723 Views
Dunia nzima weekend ni muda wa burudani,wiki ya nne hii nafuatilia hakuna mechi weekend why?
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Natamani mchezo wa soka uwe wa vipaji,uwezo na jitihada za mchezaji kama ilivyo kwa nchi za ulaya. Kuwe na adhabu kali kwa timu itakayodhihirika wazi kuwa inatumia ndumba ama imani za kishirikina...
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Kwa wiki kadhaa nimekua nikiangalia mechi za ligi ya Italy Serie A. Nimekua nikijiuliza mbona katika kila mchezo goli la kwanza likifungwa kuna watu wanaweka mpira kwenye kimfuko na kisha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi vilabu viwili MTU ambaye anauwezo wa kuvichukulia hatua Kali ni SERIKALI PEKEE, nje ya hapo hakuna wa kuviweza japo Serikali haiingilii mpira ila hapa ITABIDI
0 Reactions
0 Replies
179 Views
hii Kama ni Man U mbona logo ya Man U haipo Imenichanganya logo ya manchester united hapo kifuani haipo naona kama logo ya chelsea
1 Reactions
4 Replies
501 Views
Kitendo hicho kimetokea Huko nchini Marekani 🇺🇸 jijini Atlanta katika mchezo wa ligi nchini humo kati ya Atlanta united dhidi ya Inter Miami Messi Ameonekana akiikanyaga jezi ya Barcelona...
1 Reactions
5 Replies
689 Views
guest-1787677255
Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu. Tuendeleee Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Uchambuzi Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA akigusia kwa uchache faida zinazoweza kupatikana kutoka kwenye Samia Celebrities and Companies Cup. Kupata taarifa na matukio...
0 Reactions
6 Replies
621 Views
HII KESI YA YANGA NA TFF ITAKAVYOKUWA KWENYE MAHAKAMA YA SOKA CAS. Kwa utaalamu wangu wa Sheria kutoka chuo Bora MZUMBE UNIVERSITY ( Harvard of Africa) CAS: Tumepokea malalamika kutoka Yanga SC...
19 Reactions
93 Replies
5K Views
Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka...
0 Reactions
5 Replies
798 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu...
2 Reactions
3 Replies
713 Views
Klabu yenu imesajiliwa kucheza soka,hamuwezi kuendekeza fikra za kishamba na kizamani kuleta figisu kwa timu mnazoziogopa kwa visingizio eti walikuja na wazee! Kwa hiyo kama mliona wazee,kwenu...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Newcastle United wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza kubwa baada ya miaka 70 baada ya kuwalaza Liverpool bao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao iliyochezwa leo, Machi 16, kwenye Uwanja wa...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom