Mwakilishi wa Aziz K akiwa kwenye kikao kizito na kocha wa Wydad Rulani Mokwena pamoja na rais wa klab hiyo, wakimalizia mazungumzo ya mwisho kabisa ya aziz k kujiunga na miamba hao
Ikumbukwe...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa ruhusa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kutumika kwa michezo ya robo fainali na nusu fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na...
Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda...
Kwa maoni yangu huyu ni mtu hatari sana kutokana na kuonesha ushabiki na upande katika sakata la derby.
Licha ya vitendo vyake kusababisha kuchochea mgogoro huu,bado namuona ni mtu asiyefaa kuwa...
Ukweli useme
Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja
Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi?
Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu...
AMEANDIKA ALLY KAMWE [emoji3578][emoji3593]
Leo hapa Zanzibar, Uongozi wa Yangasc Tumesaini Makubaliano na Kamisheni ya Utalii Zanzibar, chini ya Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kwa ajili ya...
Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu.
Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba.
Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa...
Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya...
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.
Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa...
Mpira unaendeshwa kwa kanuni, kama anaesimamia kanuni hizo ameshindwa kusimamia anapaswa kujiuzulu kwanza kabla kitu kikubwa kama wizara kufanya kitu kilekile walichoshindwa bodi ya ligi...
Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali...
Hii namna serikali inawadekeza hawa viongozi wa nyuma mwiko walioitisha maandamano pale stadium jana ni kuandaa mbegu ya uasi.
Siku moja hawa jamaa watageuka m23 na msiwafanye kitu.
Viongozi...
Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?
Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako...
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi...
Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans
Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama
Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University
Arafat ni Mkurugenzi...
Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli.
Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya...
Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel...
Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.