Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nawashauri, kinachofanyika leo ni kufurahisha majini yao ili keshi yakafanye kazi uwanjani, leo watachinja ng'ombe ili wakawape damu majini yao ambayo yanafurahi sana yakipewa damu, msipokabiliana...
1 Reactions
12 Replies
631 Views
Kumjua albino wa kizungu ni ngumu sana ila Kevin De Bruyne ni albino kabisa Albino wengine footballers unawajua?
5 Reactions
52 Replies
3K Views
IKIWA Juni 3, 2023 inatarajiwa kuchezwa mechi ya mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC wana kazi moja kubwa ya kuweka historia na kuvunja...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea". Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa...
6 Reactions
131 Replies
4K Views
Baadhi ya majina hayo ni kama 1. Sokratis Papastathopoulos (Greece) 2. Jakub Błaszczykowski: (Poland) 3. Grzegorz Krychowiak: (Poland) 4. Wojciech Szczęsny: (Poland) 5. Yevhen Olehovych...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo: Tigo Pesa Airtel Money M-Pesa Halo Pesa...
4 Reactions
13 Replies
870 Views
Anaemfuatia psg anadaiwa point 22 😂😂
9 Reactions
18 Replies
837 Views
Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohamed leo amekutana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene Try Again katika Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr. GSM na Try...
0 Reactions
15 Replies
999 Views
Kama ni mfuatiliaji wa mitandao,utakuwa umekutana na clip ya mtu mmoja wa yanga akimtishia mtu anayejulikana kama Dida kwamba yanga aki sare au kufungwa tu na Tabora united,huyo Dida na familia...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Endelezeni msimamo wenu huohuo wa kudai point 3. Msikubali kucheza. Sasahivi Tff inatumia mamlaka za serikali ili wawashawishi mkubali yaishe. Msikubali hoja yoyote zaidi ya point 3. Neno busara...
3 Reactions
18 Replies
803 Views
Kipindi tukibaki na usingizi wa "derby ya tano afrika"naangalia mashemeji derby ikiwa imenoga sana hapa Hii inanifariji kwamba ule upuuzi wa kariakoo huenda ukafutika mda si mrefu kwa kupata...
12 Reactions
91 Replies
4K Views
Kiufupi nimeshuhudia game kali kati ya NAP0LI vs AC MILAN
2 Reactions
23 Replies
870 Views
Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
5 Reactions
15 Replies
907 Views
Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Ligi kuu bara chini ya udhamini wa NBC , muonekano wa makombe haya yameshabadilishwa mara kadhaa, Lakini katika mionekano yote 5imba haijawahi hata kujua uzito wa...
1 Reactions
5 Replies
417 Views
Eid Mubarak watanzania wote. Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu...
2 Reactions
17 Replies
853 Views
Wakuu..... Katika pita pita zangu Leo kufuatilia harufu ya pilau mitaani Leo nimekutana na wazee wakibishana kuhusu ubora, ushindan Kati ya ligi la championship ya bongo na kombe la shirikisho...
2 Reactions
24 Replies
805 Views
Klabu ya Zamalek ya Nchini Misri imepinga uamuzi wa Chama cha vilabu Nchini humo kuhusu kutenguliwa kwa adhabu dhidi ya Al Ahly ikiitaja hatua hiyo kuwa ni kama udhalimu kwenye mpira. Haya...
1 Reactions
5 Replies
659 Views
Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3...
4 Reactions
91 Replies
3K Views
Back
Top Bottom