Kipindi tukibaki na usingizi wa "derby ya tano afrika"naangalia mashemeji derby ikiwa imenoga sana hapa
Hii inanifariji kwamba ule upuuzi wa kariakoo huenda ukafutika mda si mrefu kwa kupata...
Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Ligi kuu bara chini ya udhamini wa NBC , muonekano wa makombe haya yameshabadilishwa mara kadhaa, Lakini katika mionekano yote 5imba haijawahi hata kujua uzito wa...
Eid Mubarak watanzania wote.
Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu...
Wakuu.....
Katika pita pita zangu Leo kufuatilia harufu ya pilau mitaani Leo nimekutana na wazee wakibishana kuhusu ubora, ushindan Kati ya ligi la championship ya bongo na kombe la shirikisho...
Klabu ya Zamalek ya Nchini Misri imepinga uamuzi wa Chama cha vilabu Nchini humo kuhusu kutenguliwa kwa adhabu dhidi ya Al Ahly ikiitaja hatua hiyo kuwa ni kama udhalimu kwenye mpira.
Haya...
Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji...
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya
Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3...
Kwa mfano mechi ya Simba na Yanga isichezwe tena. Kati ya Simba na Yanga, mbele ya safari Yanga ndiyo itatamani hiyo mechi ichezwe tena hata bila ya mashabiki uwanjani.
Kwenye mechi 7 zilizobakia...
Eng Hersi na bodi ya timu yetu ni viongozi makini na nawaheshimu sana
Kituko cha Leo Simba kususia mechi,
Naona kanuni ziko wazi na zipo upande wa Yanga
Kwa vyoyote vile mechi haikupaswa...
Habari zenu,
Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa...
Hapa nadhani mnaona jinsi hizi timu zinavyotumia ushawishi wao unaoungwa mkono na wanasiana.
Mzizi wa fitna ilikuwa siku ile ile Simba wamelalamika,hatua zichukuliwe.
Hakuna mtu mwenye nguvu...
Police use teargas to disperse fans who were trying to force their way into Nyayo stadium for the #MashemejiDerby between Gor Mahia and AFC Leopards.
=================
Leopards, Gor fire blanks...
Mchezaji asiyechukiwa, aliyepita vilabu kama Leicester City, Chelsea, na sasa anakipiga uarabuni Ngolo Kante amefunga ndoa baada ya kuachana na mwanamke wake wa awali.
Ndoa ya Ngolo Kante ni ndoa...
Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji.
Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji...
Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April
Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa...
Sote tumeshuhudia timu zetu zikiwa na mambo mengi ya kushirikina na kufikia mahali kupoteza ladha ya mpira hususan kwa watu wasiopenda mambo ya kishirikina.
Kusema kweli kanuni zilizopo ni laini...
Bado ni mapema sana kwa pande zote mbili kufanya maamuzi. Timu zote mbili za Simba na Yanga zimefanya usajili mzuri na zina vikosi vya kiushindani kwa mashindano ya ndani na nje.
Tuna nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.